Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nyasa imekuwa Mjini tangu lini? Anyways, nitakuja Mjukuu though could make sense iwapo nitakuvalisha.

Usiwe na hofu na Babu, nimekabaki na nguvu za kushika Mkongojo tu kutembelea [emoji85][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao wanaotoka dar kuja songea hawarudi kwao bila kuja nyasa[emoji41]

Naomba umpe bibi ooooh hiyo ni kazi ya bibi kunivisha[emoji23]
 
FB_IMG_1632394561732.jpg


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao wanaotoka dar kuja songea hawarudi kwao bila kuja nyasa[emoji41]

Naomba umpe bibi ooooh hiyo ni kazi ya bibi kunivisha[emoji23]
Seems huko pamechangamka kulingana na maelezo yako, can't wait to join you there😛

Navyomjua Bibi yako hawezi kukufundisha ukaweza, hiyo kazi niachie miye Mjukuu. Nikuhaidi kukupa mafunzo adhimu yatakayokuacha na kumbukumbu nzuri ya Babu 🙈🙈🤸🏽🏃🏻🏃🏻
 
Seems huko pamechangamka kulingana na maelezo yako, can't wait to join you there[emoji14]

Navyomjua Bibi yako hawezi kukufundisha ukaweza, hiyo kazi niachie miye Mjukuu. Nikuhaidi kukupa mafunzo adhimu yatakayokuacha na kumbukumbu nzuri ya Babu [emoji85][emoji85][emoji1729][emoji1322][emoji1322]
Mkuu, mjukuu wangu Mawardat tayari kapata babu mwingine au inakuwaje sasa? What's going on?

Halafu mkuu we si umeshaitwa huko kwa Wanyaki huko sijui ukafundishwe kula maparachichi huko? Dah!
 
Back
Top Bottom