Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji850][emoji850][emoji40][emoji40]Unaona unatoa siri sasa
Wewe je[emoji12][emoji12]Walahi hufiki hata njiapanda
Mkuu naomba uwe na amani, kwa umri huu naweza kulala na binti hata mwaka mzima na Babu miye nisishtuke 😂Mkuu, mjukuu wangu Mawardat tayari kapata babu mwingine au inakuwaje sasa? What's going on?
Halafu mkuu we si umeshaitwa huko kwa Wanyaki huko sijui ukafundishwe kula maparachichi huko? Dah!
Asante kwa kunitoa wasiwasi mkuu. Kaache haka kajukuu kangu. Bado hakajaijua dunia hii inavyokwenda. We komaa huko kwa Wanyaki huko ufaudu maparachichi [emoji16][emoji16]Mkuu naomba uwe na amani, kwa umri huu naweza kulala na binti hata mwaka mzima na Babu miye nisishtuke [emoji23]
Kwahiyo nimwondoe hofu mawardat yupo mikono salama.
Ofa ya yule Mnyaki imekuwa hewa, nimekwenda kwao 5 times ananizimia Simu, bora nijikite na safari za Nyasa tu huenda zikazaa matunda in future [emoji23]
Bhavhejha sana 👏👏Asante kwa kunitoa wasiwasi mkuu. Kaache haka kajukuu kangu. Bado hakajaijua dunia hii inavyokwenda. We komaa huko kwa Wanyaki huko ufaudu maparachichi [emoji16][emoji16]