Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,934
- 6,028
Teh teh teh tehHivi viumbe....duuh!!!View attachment 1863842
Nisaidie ufafanuzi kidogo. Kwanini ilikuwa hivyo?
Hiyo picha ya juu nywele unazoziona ni za mwanamama aliye nyuma ya huyo black aliyevaa baseball T-shirt na hiyo ya chini ndiyo anachungulia na kuonekana na black kabaki na kipara chake kama kavuliwa wigi.Nisaidie ufafanuzi kidogo. Kwanini ilikuwa hivyo?
Swadakta!Hiyo picha ya juu nywele unazoziona ni za mwanamama aliye nyuma ya huyo black aliyevaa baseball T-shirt na hiyo ya chini ndiyo anachungulia na kuonekana na black kabaki na kipara chake kama kavuliwa wigi.
nimekuelewa mkuu ahsanteHiyo picha ya juu nywele unazoziona ni za mwanamama aliye nyuma ya huyo black aliyevaa baseball T-shirt na hiyo ya chini ndiyo anachungulia na kuonekana na black kabaki na kipara chake kama kavuliwa wigi.
Duh, it took me few seconds to get the real shit.
list itakuwa ndefu sana aiseee, hizo namba kuna mdau anafika mpaka page 223"MBINGUNI HUKO"
Malaika: Bwana Taavid unazifahamu hizi namba?
Taavid:. Ndio
Malaika: Nenda kulee kwenye moshi moshi kuna kaka ana mapembe atakupangia kazi ya kufanya
View attachment 1864229