Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,695
Kulea mimba si kazi,kazi kulea mwana.
Kulea mimba si kazi,kazi kulea mwana.
Niliwahi kuhonga shilingi kumi mwaka 1962 na mbususu sikupata. Hiyo hela huwa inaniuma mpaka leo dadeki




Kikao hiki cha chakula cha mchana ndicho kinacholeta sintofahamu Simba.View attachment 1864698
Jizazi









Dah hizi pesa ujue nilipost mimi mwaka 2013 nadhani ni feki hizo tulitapeliwa 5M![]()





Shilingi 10 mwaka 1962!!!?Niliwahi kuhonga shilingi kumi mwaka 1962 na mbususu sikupata. Hiyo hela huwa inaniuma mpaka leo dadeki
View attachment 1864750


Huyu Juma Nkamia hana jipya
Ana matatizo yake. Tangu atoe kauli ya "siongei na mbwa bali na mwenye mbwa" akiwa naibu waziri wa michezo nilimdharau sana.Huyu Juma Nkamia hana jipya
Walokole njooni huku kuna mtu anawabeep. Fire! Fire!