View attachment 1816268
Kujiongeza muhimu wanaume
Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya asubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.
 
IMG_20210613_155524_939.jpeg
 
Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya ssubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.
Na kuanzia siku hiyo ukaharibika...yaani ikawa kampa kampa hapa kazi tu kila anayejichanganya lazima umpelekee moto
 
Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya ssubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.
Watu kama nyie ndio mnafanya uzi wetu wa kula kimasihara usiendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom