Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na kuanzia siku hiyo ukaharibika...yaani ikawa kampa kampa hapa kazi tu kila anayejichanganya lazima umpelekee moto [emoji16][emoji16][emoji16]
Kipindi hicho ghetto langu alikuwa haingii mwanamke, baada ya kupakaziwa nilijiskia aibu sana, wiki iliyofuata nikaingia ghetto na mdada, stori yangu iliacha gumzo. Kumbe nilikuwa najaribiwa kama nafanya kazi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Kuanzia hapo..... Ikawa ni mwendo wa kuwapelekea moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hatari fire....!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
IMG-20210613-WA0168.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom