CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Na midomo mpana.
Na midomo mpana.
Kuna jamaa daily anataka kuondoka na chaja yangu kwa kisingizio kuwa inajaza faster kuliko yake, kinachoshangaza zote ziko sawa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha kuwa unapomaliza kuchaji simu yako usichomoe simu na kuiacha charger kuendelea kuwepo kwenye umeme!
J ni mimi hapa!Je, J ni nani!!???[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1815797
J ni mimi hapa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]J ni mwanaume kwa kweli. Yaani ana misimamo kama yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Dada Pendo ajengewe lisanamu likubwa Chattle downtown pleaseSerikali itoe ulinzi kwa dada PendoView attachment 1817274
Uzi gani huo Kasie Matata?Ninekutana na 23 notification halafu uzi umefutwa.....
Nimebaki na shaukwa kutaka kujua nimepitwa na nini.....[emoji45]
Acha uhuni!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Ni MAKUBAZI
soma kurudi nyuma
Unaweza ukaamua kwenda kwa mchepuko kutokana na hasira [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Jamani
Lakini hawa viumbe jamani wanaendaga extra mile nakutufanyia mambo mazuri sana wakati wakiwa wanaliwa mbususu zao.