Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,973
- 1,098,445
Poa mkuu maana hali imezidi,udhalilishaji kila kona.
Sivyo unavyofikiria ila jamaa mawazo yake yalifika mbali sana ndicho kilichonichekesha maana comment yake niliipita (sikuielewa),baada ya wewe kulalamika ndipo nikarudi nione kilichomaanishwa
Ila sorry kwa kukukwaza dada yangu
Sent using Jamii Forums mobile app