Kuna jela ndugu yangu hio cha mtoto, kuna jela Morogoro kule mtego wa simba! Huko jembe linapigwa si haba!Gereza la kilimo la Dilunga.
Gereza maarufu sana zamani kwa wavulana wanaodandia meli.
Ukikamatwa unafikishwa kwa bwana Jela Dilunga, unapiga kijembe miezi sita hadi mwaka mmoja, mpaka akili inakukaa sawa.
Nimesikia lingine linaitwa Mkono wa Mara.Kuna jela ndugu yangu hio cha mtoto, kuna jela Morogoro kule mtego wa simba! Huko jembe linapigwa si haba!
Mwanamke wa shoka😂😂😂
Mkono wa mara na mtego wa simba yote yapo wilaya ya morogoro vijijini .Nimesikia lingine linaitwa Mkono wa Mara.
Hilo mkono Simba liko wilaya gani?