Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,112
- 1,249,111
Poa mkuu maana hali imezidi,udhalilishaji kila kona.
Sivyo unavyofikiria ila jamaa mawazo yake yalifika mbali sana ndicho kilichonichekesha maana comment yake niliipita (sikuielewa),baada ya wewe kulalamika ndipo nikarudi nione kilichomaanishwa![]()
Ila sorry kwa kukukwaza dada yangu
Sent using Jamii Forums mobile app








Mkuu ujue umesababisha bangi yangu iishe kichwani kwa kujicheka

