Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,915
- 7,122
Acha ujinga Wewe,hapo ulipo laki mbili kwenye akaunti hauna
Acha ujinga Wewe,hapo ulipo laki mbili kwenye akaunti hauna
Yupo sahihi, naweza kuwa sijawahi kushika mil 50 lakini nikiona helicopter inauzwa mil 50 nitauliza mbona bei ndogo! Je, huu utakuwa ujinga?Acha ujinga Wewe,hapo ulipo laki mbili kwenye akaunti hauna
1.benki inakopesha nyumba yenye hati tuu..na ukikopa unawaachia hati...Hapaa ukienda kichwa kichwa unatoa helaa kesho Bank wanakujaaa au kampuni ya mikopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Utauzaa chap tu mkuu kwa hiyo Bei.. Ikifika kesho bhasi jua kuna mchawii1.benki inakopesha nyumba yenye hati tuu..na ukikopa unawaachia hati...
hay anambie unakujaje kichwa kichwa kuuziwa nyumba bila ya kupewa hati...
acha kutia dosari biashara za watu.....hujui mtu ana shida gani
Kiwanja kina title deed?sqm 600 ndio eneo lote la kiwanja
sio lazima upige pcha vitu. ungepia tiles, gypsum, walls watu waoneprivacy kidogo mkuu..si unajua kuna vitu vya watu wasingependa kuviweka mtandaoni..njoo ujionee
Naishi maeneo hayo. Kimara mbezi na Kibamba sio pa kununua nyumba hivi sasa.acha kuchafua biashara ya watu..kishindo gani hicho..
hiv unajua mtu anashida gani mpak aanauza nyumba yake..
nyumba ipo kilometa 2 kutoka barabarani.. kishindo gani unachokisemea wewe
Kwanini msiwauzie Yanga hii nyumbaeleza sababu za kutonunua nyumba...
sasa watu wasinunue nyumba na wewe bado unaishi
maana yake nini
kwahiyo watu wanahamishwaa auu