uchukue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Championship

    Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

    Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
  2. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  3. Infinite_Kiumeni

    Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  4. Infinite_Kiumeni

    SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  5. Lady Whistledown

    Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  6. Richard

    Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  7. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  8. 5H-IWM

    Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

    Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi. Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia.. Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu...
Back
Top Bottom