Buguruni is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 67,028.
Habari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana!
Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar es Salaam. Wakati huo wote nilikuwa mbishi mno kwa sababu sikujua upande wa pili wa hili jiji la...
Soko la buguruni ni moja ya soko kubwa na maarufu ndani ya jiji la Dar es salaam ambalo linahudumia watu wengi hasa kwa wafanyabiashara wa matunda. Lakini cha kusikitisha miundombinu ya soko hilo ni kero kwa wafanyabiashara na wanunuzi ambao hufika hapo kwa ajili ya ununuzi wa mahitaji yao ya...
Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda.
Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari...
Habari za muda huu
Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana.
Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo
Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100
Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper
Madeveloper watajenga...
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa
Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni
-Eneo lina fremu za Biashara
-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.
Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.
-Plot size Sqmtrs 3,548
-Document...
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa
Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni
-Eneo lina fremu za Biashara
-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.
Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.
-Plot size Sqmtrs 3,548
-Document...
Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni
2/2 2900
2/4 5000
1 by 8 12000
1by10 16,000
Misumali inch 4 bei 3500
Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000
..
Zote hizo ni ft 12
Piga sim 0743257669
Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika...
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu.
Karibuni sana.
Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao.
Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia...
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa...
Niaje wakuu!
Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo.
NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani.
Nikasogea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.