TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,680
2,000
Na bado.

Kule Uganda Museveni alicheza sinema wananchi wakamshtukia now taratiibu inakuja kwa motherhouse.
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,279
2,000
Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
SIYO MSAADA BALI SERIKALI ITALIPIA SH BILLION 3
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
4,717
2,000
SIYO MSAADA BALI SERIKALI ITALIPIA SH BILLION 3

Kwanini tununue dose ambazo hata kwa wale wanaotaka kwenye hija meka hizi dose hazitambuliki. Kinga yake ni ya chini sana mfano UAE wametumia mapema sana lakini haijakinga delta kiasi kwamba wengi wamepiga chanjo nyingine.
 
Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,488
2,000
Hii inshu ya Chanjo tunaichukulia Kiwepesi ila nasema huu ni Moja ya Msumari utakuja Kumsulubu mama 2025 kama ataamua ku vie for presidency, Hawa washauri wa Mama wako very strategic kuhakikisha Chombo kinaenda Mrama baadae wapate pakupigilia Msumari hizi Chanjo zimesha fail kuanzia Phase one na kama ni kupraise kwenye International Communities kuwa tuko nao Pamoja imetosha sana Kitendo cha Kuruhusu Vaccines za J & J kuingia ni key indicator tosha ya kusema kuwa tunaitambua korona Na tuna adhere rules zote, Ila hii inshu ya kuingiza varities of Vaccine kwa kweli ni hatari hata kwa usalama wa Nchi, Mama tunampenda sana Na Hata Juzi akiwa Newyork kwenye UNGA ame Adress izo mambo, itoshe kusema Ordinary citizens hatuko entertain Na izi mambo za Vaccines Na hawa Viongozi ambao wakati wa The late JPM walikuwa wanasema chanjo haifai ni Ngumu Leo kutuaminisha tena zinafaa, Wananchi wameamua kukaa Pembeni waki observe the matter
 
ntazana ntazana

JF-Expert Member
Sep 18, 2021
204
500

Mungu atupe uhai tuone mwisho wa mchezo.
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,465
2,000
ACHA siasa, chanjo Hata zikiwa 100 tofauti tutachanja ,Acheni zungumzia chanjo katika negative way ,hutaki chanja baki wewe,ila sio walisha maneno na kuwakatisha tamaa wengine
Mliochanja mnateseka sana.Hutaki mtu aongelee chanjo in negative way ili iwe nn?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,739
2,000
Wanashangaza sana hawa jamaa. Chanjo milioni zimetumika laki nne tu, kuna uwezekano mkubwa hizo laki sita zikaharibika halafu bado wanaleta nyingine!!!! 😳😳😳 hakuna uhamasishaji hata chembe unaofanywa na hii Serikali isiyojua vipaumbele vya nchi.

zile tu zimedoda wanaleta nazingine.
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,415
2,000
Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
Halafu huko China wameripoti kuwa waliochanjwa hiyo chanjo Sinopharm haiwasaidii, wakipata Corona wanaugua nakufa , yaani ni feki.
Ndio maana haikubaliki popote.
Nchi zoa zoa sana hii.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,443
2,000
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja

Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Ina maana na walio chanja nao wamelazwa?
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,445
2,000
Mliochanja mnateseka sana.Hutaki mtu aongelee chanjo in negative way ili iwe nn?
Aliyepinga watanzania kuchanjwa ndiye aliyewajaza ujinga wakidhani chanjo zinaletwa na CHADEMA, leo wamezileta wao tayari waliojazwa ujinga hawaziamini tena!! Corona haitaniwi... Walioidhihaki hadharani iliwaondoa kimyakimya...
 
Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
3,216
2,000
Aliyepinga watanzania kuchanjwa ndiye aliyewajaza ujinga wakidhani chanjo zinaletwa na CHADEMA, leo wamezileta wao tayari waliojazwa ujinga hawaziamini tena!! Corona haitaniwi... Walioidhihaki hadharani iliwaondoa kimyakimya...
Gwajima na Charles Mbowe nani ameondoka?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom