Abely msomba

Member
Sep 3, 2018
12
45
Chanjo za China zinakataliwa Saudi Arabia. Wale wa hijja wawe makina wasije kupokea kitu ambacho kinakataliwa kuingia Saudi Arabia
Chanjo zinapolelewa bila hata kuwashirikisha wananchi na kufanya uchunguzi. Kazi ipo tena kubwa sana
Wakushirikishe wewe nani🤸🙅
Ikija wewe chanja usiulize Tz inaenda kasi sana Jpm haya ya uviko hayakuwepo SSL tunayo ya uviko
Tz tunasafari ndefu sana
 

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,279
2,000
Sasa seriklai iatatumia billion 300 kuagiza dozi million 2 za corona kutoka china ,, hii ni watsni wa sh 150 kwa vaccine. Sasa unapeleka billion 300 ambayo ni sawa na makusanyo ya miezi 6 ya Tozo
 

Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,507
2,000
Akili gani hi?
Hizo tu zingine zimedoda zinaexpire,halafu unaongeza zingine.?
Au analetwa kirusi mwingine kutoka China Ili mlipuko utokee watimize yao?
Kamwe hawataweza Mungu yupo.
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000
Sasa seriklai iatatumia billion 300 kuagiza dozi million 2 za corona kutoka china ,, hii ni watsni wa sh 150 kwa vaccine. Sasa unapeleka billion 300 ambayo ni sawa na makusanyo ya miezi 6 ya Tozo
Hapo dozi moja ni shs.150,000/=, hesabu zako za shs.150/= ni za kitaahira
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000
Akili gani hi?
Hizo tu zingine zimedoda zinaexpire,halafu unaongeza zingine.?
Au analetwa kirusi mwingine kutoka China Ili mlipuko utokee watimize yao?
Kamwe hawataweza Mungu yupo.
We unafikiri hadi wanatoa offer Yanga na Simba kuingia bure endapo utachomwa unafiki ni nini? Dozi moja wananunua wa 150,000/= ??!!!!
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja

Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Hizo chanjo tunapokea kivipi? Kwa ni msaada, mkopo au tunanunua? Na tunanunua kwa bei gani?
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000
Ukizingatia dozi zilizoletea mwanzo hazijatumika hata nusu, nasikia kuna dozi zingine milioni 2 zinatarajiwa kuletwa nchini, sasa je, naomba kuuliza:

1.) Hizi dozi ni za msaada? Au

2.) Hizi dozi ni za mkopo? Au

3.) Hizi dozi tunanunua?

kama tunanunua / ni mkopo, dozi moja tunalipoa kiasi gani?

Maana Tozo zinaumiza jamani, ni vyema tukajua zinapoenda
 

M2WAWA2

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
727
1,000
3.) Hizi dozi tunanunua
Tumenunua kwa bei gani.
basi Subiri report ya mkaguzi wa mahesabu
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,333
2,000
3.) Hizi dozi tunanunua
Tumenunua kwa bei gani.
basi Subiri report ya mkaguzi wa mahesabu
Daaah, mnatuumiz moyo jamani, ibeni hata kisiri siri, mnapoiba wazi wazi hivi ukizingatia na tozo jinsi inavyouma, kwa kweli hamtutendei haki kabisa
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,880
2,000
Kuchanjwa kwenye hili janga ni ujinga, haijalishi unachanja Joni Jonsoni au Jonijoo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom