Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja

Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Zije tu wajirudie tena waliochoma pamoja na akina lusekelo.Ss Huku gwajmaaa alieleweka sana Hatuchanjiiiiiiiii,Hata mama anajua.
 
Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
Si mliletewa Chanjo nzuri ya Janssen hamtaki... Sasa ngoja zije za kichina na zile za pale Mwenge. Mtajua hamjui...! Baada ya muda wataanza kuzilazimisha!
 
Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
Nakubaliana na wewe 100%
 
Ila mkuu usifananishe kitu moto na vitu vya ajabu pls ile kitu ni tamu ujue
The only resources mtu mweupe anaweza kuitumia kwa sasa ni kama hivi, tengeneza tatizo kubwa hadi dunia ishangae, tafuta suluhu yake, dunia yote ikupigie magoti wewe tu ili wanunue kutoka kwako.

A white man is just a !
 
Ungesema tu mzungu,
Ingeeleweka haraka 👍
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja

Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Zakuchoma kuku ama? Manake Raia wamezidisha. Juzi kati tunatonywa kiwa dar walipokea dozi 30000 awamu ya kwanza na wametumia 15000 tu na zinaezpire ndani ya mwezi mmoja huu, na Taifa derby jana walitoa za bure kuingia bure ila uwanja ukawa mtupu tu,

...kule Mbeya walipewa 50000 ila inshatumika 10000 tu zingine bado....takwimu zote hizo ni kutoka midomoni mwa wakuu wa mikoa husika.

Kuna shida pahala

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wananchi hawana hata muda na hizo chanjo, waanawatia hasara hao wahisani tyuuuh.
 
Huu ujuha utatucost sana. Why not stick to J&J?

Sisi si ni Nchi tajiri!?
4EF05F39-5049-489D-B5D9-9A4EEAD1E67C.jpeg
 
TusifaNye mambo kwa hasira !
===
Nilitegemea, tuzitake IMF na WB zitukopeshe hela za kutengeneza chanjo yetu wenyewe bila kutegemea hizi zilizo ghali kununua.
Hata neno Covid lenyewe hatujui maana yake,hiyo chanjo ndio tutaweza kutengeneza.
 
Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
Watanzania bwana, yaani chanjo zinazo toka Uchina hizo ni za kuokoteza lakini chanjo kutoka Merikani na Ulaya hizo mnaona ni balabala!!!

Binafsi nashukuru Serikali yetu kuingiza nchini chanjo za Kichina zinazo zalishwa kwa njia ya asili at least RAIA tutakuwa na Uhuru was kuchagua uchanjwe chanjo hipi kati ya chanjo zinazo zalishwa kwa teknolijia ya kijinetiki (mRNA,Vector type) na hizi chanjo zinazo zalishwa kwa mbinu za asili zinazo toka Uchina,Urusi na Cuba - China yenye population zaidi ya 1.4 Billion hakuna report inayo husu injuries zilizo sababishwa na chanjo zao baada ya RAIA kudungwa - tofauti kabisa nachanjo zinazo zalishwa kutoka mataifa ya magharibi sisemi hazitibu/hazifai shida hipo kwenye unpredictable after effect - ni hilo tu, once again shukrani sana kwa Madam President kwa chanjo kutoka Uchina.
 
  • Thanks
Reactions: len
KWANINI WAKINA MAMA HWAJITOKEZI WOTE KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO RAIS?KWANINI CHADEMA HAWAJITOKEZI KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO MBOWE?KWANINI CCM HAWAJITOKENI ILI KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO, KWANINI WAFANYAKAZI SERIKALINI HAWAKUJITOKEZA WOTE ILI KUMMUUNAG AMIRJESHI MKUU?? KWANINI LINAPOFIKA SUALA LA CHANJO AHWA WANACHAMA WAKILA CHAMA WANAANZA KUZUNGUKA.KWANINI ZITO NA MAKAMBA HAWACHANJI KUMUUNGA MKONO SAMIA
ACHA siasa, chanjo Hata zikiwa 100 tofauti tutachanja ,Acheni zungumzia chanjo katika negative way ,hutaki chanja baki wewe,ila sio walisha maneno na kuwakatisha tamaa wengine
 
KWANINI WAKINA MAMA HWAJITOKEZI WOTE KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO RAIS?KWANINI CHADEMA HAWAJITOKEZI KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO MBOWE?KWANINI CCM HAWAJITOKENI ILI KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO, KWANINI WAFANYAKAZI SERIKALINI HAWAKUJITOKEZA WOTE ILI KUMMUUNAG AMIRJESHI MKUU?? KWANINI LINAPOFIKA SUALA LA CHANJO AHWA WANACHAMA WAKILA CHAMA WANAANZA KUZUNGUKA.KWANINI ZITO NA MAKAMBA HAWACHANJI KUMUUNGA MKONO SAMIA

Ambae hataki chanjo atajijua,,,
 
Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson

Awali ya yote, Covid19 au Uviko19 ilitokana na tatizo la ajali katika maabara kule Wuhan China yaani Covid19 was a result of advanced Laboratory Technology error at Wuhan China, however it was not intentional, it was an accident! Sasa China watoa chanjo na sisi tukubali kuchukua kweli ni sawa? Ni sawa mchawi akulogo halafu unarudi kwa mtu huyohuyo kwa tiba!!ni sawa? Ndo maada wengi wanaogopa Sinopharm na Sinovac za China. Kuna hofu kuwa kwa sababu ya ushindani wa technology, kuna uwezekano wa utawala wa sehemu ingine kutoa variant Coronavirus kama ushindani! Tuwe waangalifu. Mimi ningeshauri serikali ichukue chanjo za Johnsons & Johnsons, Moderna, Pfizer(zote za USA) na AstraZeneca ya UK tu!
 
Chanjo za China zinakataliwa Saudi Arabia. Wale wa hijja wawe makina wasije kupokea kitu ambacho kinakataliwa kuingia Saudi Arabia
Chanjo zinapolelewa bila hata kuwashirikisha wananchi na kufanya uchunguzi. Kazi ipo tena kubwa sana
 
Africa usiposhituka unaweza zikwa ukiwa mzima
Mwili huo huo umechakaa na Tozo,umepata chanjo ya kwamza🥺, tena ya pili 🤣?
Misaada inatumaliza haraka
 
Back
Top Bottom