beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,367
2,000
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja

Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,004

Mnachezea tu chanjo za watu, zili milion moko mmeshindwa kuzimaliza halafu bado mnalia lia chanjo hazitoshi
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,518
2,000
Kwanini wakina mama hwajitokezi wote kuchanjwa ili kumuunga mkono rais? Kwanini chadema hawajitokezi kuchanjwa ili kumuunga mkono mbowe? Kwanini CCM hawajitokeni ili kumuunga mkono mwenyekiti wao, kwanini wafanyakazi serikalini hawakujitokeza wote ili kummuunag amir jeshi mkuu? Kwanini linapofika suala la chanjo ahwa wanachama wakila chama wanaanza kuzunguka.Kwanini zito na makamba hawachanji kumuunga mkono Samia.
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,397
2,000
Tuliopata Jonhsnon tunaruhusiwa na kuchanja hii ?
images (5).png
 
Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
4,346
2,000
Nawatakia heri serikali, lakini wanatakiwa wafanye tathmini ya kina kabla hawajaleta aina nyingine ya chanjo.

Karibu mwezi wa pili sasa hata nusu ya idadi ya chanjo ya awali bado haijafikia! Maana yake haikupokelewa vizuri na wananchi,wengi waliokua wana hitaji chanjo tayari wameshachanjwa, waliobaki sidhani kama wana haja nayo Lau wangekua wameshachanjwa.

Kuleta chanjo nyingine tena ya aina nyingine wakati iliotangulia bado kumalizika, kiasi cha kusema chanjo haijitajiki tena nadhani ni matumizi ya yasio sahihi ya fikra na mang'amuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
30,154
2,000
The only resources mtu mweupe anaweza kuitumia kwa sasa ni kama hivi, tengeneza tatizo kubwa hadi dunia ishangae, tafuta suluhu yake, dunia yote ikupigie magoti wewe tu ili wanunue kutoka kwako.

A white man is just a !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom