sinopharm

China National Pharmaceutical Group Corporation (CNPGC), commonly referred to as Sinopharm, is a Chinese state-owned enterprise. The corporation was the indirect major shareholder of publicly traded companies Sinopharm Group (SEHK: 1099, via a 51–49 joint venture, Sinopharm Industrial Investment, with Fosun Pharmaceutical), China Traditional Chinese Medicine (SEHK: 570, mostly via Sinopharm Group Hongkong Co., Ltd.). Shanghai Shyndec Pharmaceutical (SSE: 600420, via a wholly owned research institute based in Shanghai) and Beijing Tiantan Biological Products (SSE: 600161, via China National Biotec Group).
China National Pharmaceutical Group was supervised by the State-owned Assets Supervision and Administration Commission of the State Council.Sinopharm was ranked 205th in 2016 Fortune Global 500 list.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Sinopharm inavyochochea uhusiano wa China na Afrika

    Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli. Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...
  2. The Evil Genius

    #COVID19 Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

    Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron. Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron. Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni...
  3. L

    #COVID19 Marekani yaruhusu watu waliopewa chanjo za Sinopharm na Sinovac

    Marekani imetangaza kuwa kuanzia tarehe 8 Novemba watu waliopata chanjo kwa ukamilifu kutoka nchi zote duniani wataruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya utalii. Uamuzi huu umetangazwa kwa njia ya Twitter na naibu msemaji wa Ikulu ya Marekani Bw. Kevin Munoz. Uamuzi huu unafuatia marufuku...
  4. beth

    #COVID19 Tanzania yapokea dozi 500,000 za Sinopharm kutoka Serikali ya China

    Serikali imepokea Dozi 500,000 za Chanjo aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema mwamko wa Chanjo ni mkubwa na wananchi wanaendelea kujitokeza. Amesema, "Chanjo za Johnson & Johnson zimeisha tangu 19 Oktoba. Sasa tunaendelea...
  5. beth

    #COVID19 Waziri Gwajima: Watoto chini ya umri wa miaka 18 hawatachanjwa

    Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
  6. beth

    #COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

    Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
  7. beth

    #COVID19 Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  8. beth

    Chanjo ya China ya Sinopharm yapata idhini ya WHO

    WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea. Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
Back
Top Bottom