Bukyanagandi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Bukyanagandi
Joined:
Jun 24, 2009
Messages:
7,624
Likes Received:
4,068
Trophy Points:
280
Liked:
6,841

Share This Page

Facebook Twitter

Bukyanagandi

JF-Expert Member

  1. Chuku chuku
   Chuku chuku
   kiongozi naendelea kusubiria ufafanuzi wako kama ulivyoniahidi,Asante.
   1. Bukyanagandi likes this.
  2. Chuku chuku
   Chuku chuku
   Habari kiongozi,samahani lakini maana nakumbushia post yako ya mwaka 2014 kwenye mada moja iliyokuwa inahusu green house nawewe ukachagiza kwamba inawezekana kutumia maplastiki ya maji safi pamoja na syringe kutengeneza dripping kwenye green house,kama unaweza kunisaidia uelewa please.Thanks
   1. B
    Bukyanagandi
    Mkuu nashukuru kwa ujumbe wako, unaonaje ukivuta subira mpaka jumamosi ili niweze kufafanulia kwa kina. Nakutakia jioni njema.
    Mar 15, 2016
    Chuku chuku likes this.
  3. Kabaridi
   Kabaridi
   @ Bukyagandi

   Thanks My friend for your candid observation. I had the intention to do things differently, because there is more we can offer than just plain insults and wanting to dominate headlines. we can exchange opinions in a calm way without disrespecting one another, I won't mind a cup of coffee anytime.
  4. B
   Bukyanagandi
   You are right hata mimi mambo mengi nafuataga INTUITION yangu, nilikuwa nabishanaga na lecturer wangu wa SOLIDSTATE PHYSICS mpaka anabadilika rangi kutoka weupe anakuwa mwekundu - kwa bahati mbaya alikuwa ni member wa chama cha ma-RACIST kinachojulikana kama "FRONT"

   Nilikuwa namwambia kwamba haya mambo ya DUALITY kuhusu mwanga aingii akilini mwangu naona mwanga ni more of a wave kuliko particle regardless ya hypothesis/theory zilizowahi kutolewa na akina Schrondiger na Heisenberg’s Uncertainty Principle, mpaka leo hii sijuhi huyo jamaa alinichukuliaje.

   Sasa niliposoma kwamba you liked maelezo yangu basi nikajuwa bila shaka huyu ni mwenzangu unayaelewa mambo haya ya Quantum Physics na ukanikumbusha kisanga nilicho zungumzia hapo juu.

   Best Regards
  5. Azimio Jipya
   Azimio Jipya
   Sikuwepo, ilikuwa nimeacha online... nimeona hoja ...ya Light ... very interesting ... swali pia nimeliona kule... lakini pia mimi kuna mambo nafikiri i have to follow my own intuition kuliko wanavyosema...* personaly kulingana na swali .... nafkiri as always it is ..both.. wave and particle .. Its more of wave than particle ... ingawa theory mbalimbali ...says its both etc... and there is a lot to see here!! What do you have n mind?
  6. Mtumishi Wetu
   Mtumishi Wetu
   Hivi Ndg yangu unalijua hili Gazeti la zamani BKB? pamoja na Lumuli; Umenikumbusha mbali, ndio maana nimeamua kuja huku kwenye privacy. You may wish to prolong our communication.
   Be blessed, enjoy your Day.
   Mtumishi.
 • About

  Birthday:
  March 13
Loading...