Hujui kama hujuiSiamini hizi mamlaka
ndio maana huwa nawashangaa wanzanzibar kutuona wabara chogo,, uwepo wenu hapa bongo tunawasaidia tu, ndio maana tunawapa na ardhi na mnaishi hata kama sisi kule kwenu ni vyogo. kisiwa chenu kila siku huwa kinapungua, itafika mahali mtakuwa samaki na ninyi, wengine watabadilika kuwa nyangumi wengine papa wengine changu wengine kibua kwasababu miaka ya mbeleni kitamezwa na maji. mtakimbilia wapi kama sio bara? kuna kakisiwa fulani bahari ya hidi hapo kamepukutika karibia kanaisha. haya na hizo volcano, zikilipuka, mtakimbilia wapi? mnataka muishi kwenye mashua? mshukuruni Mungu mpo kwenye muungano na mtuheshimu acheni zarau.View attachment 2785590
Mamlaka leo imetangaza kuwepo kwa Hali ya hatari ya Volcano Katika bahari ya Hindi.
Maeneo:- Mkoa wa Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Na Mtwara.