paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,504
- 3,499
Mabeberu wameingia mkenge"
Chambo Chao kinazidi kudoda
Chambo Chao kinazidi kudoda
Mabeberu ni wingi wa beberu ambaye ni mnyama (mbuzi) au kuna maana nyingine?Mabeberu wameingia mkenge"
Chambo Chao kinazidi kudoda
sawa mgonjwa.Kuota mchana ni haki yako.
Usilinajisi jina langu tafadhali.sawa mgonjwa.
Kwaiyo unamaanisha namimi nimetokea ubelgijiWewe huenda ni mgeni wa Siasa za Tanzania
Waacheni wanafunzi waende kumsupport sponsor wao wa elimu bure kwani kuna ubaya?Sijui shule zitaendelea na ratiba zao za kila siku!
Arusha kuna baridi kali mwambie mgombea wenu wa MALUKANGA asitumie A/c asije kupata "NIMONIA".Mgombea wa Urais kupitia CCM anatarajiwa kuingia viunga vya jiji la Arusha kesho na kuanza kampeni ya kishindo.
Uchaguzi 2020 - Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosaMgombea wa Urais kupitia CCM anatarajiwa kuingia viunga vya jiji la Arusha kesho na kuanza kampeni ya kishindo.
Hana hoja za kutikisa zaidi ya kudhalilisha wanawake na kuomba apewe mkeMgombea wa Urais kupitia CCM anatarajiwa kuingia viunga vya jiji la Arusha kesho na kuanza kampeni ya kishindo.
Elimu bure, maktaba shule hazina, Wala maabara. Hiyo ni elimu au matakataka?Waacheni wanafunzi waende kumsupport sponsor wao wa elimu bure kwani kuna ubaya?
Halafu Rashidi alikuwepo palepale sijui kwanini hawakumoelekea?Hahaha Mbana yeye ndiye anatikisika?!
Vipi mliisha mpelekea Gwajima a.k.a Chid boy?!
Hahaha Anafoka vile nani amsogelee?!Halafu Rashidi alikuwepo palepale sijui kwanini hawakumoelekea?
Watasoma baada ya uchaguzi mbona .Kampeni ni muhimuSijui shule zitaendelea na ratiba zao za kila siku!
Kweli Chiddy Gwajy Ni muhuni yeye anakana kila kitu. Kaukana Ukristo, kaukana mkono wa baunsa, kaikana misukule, duhHahaha Anafoka vile nani ansogelee?!
Halafu Chid naye anatafutwa amekaa tu, hata hasemi, niko hapa!