Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
627
1,000
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.

Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM.

CCM.jpg

UPDATE:-
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,674
2,000
CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live

Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!
 

S.M.P2503

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
742
1,000
Hivi itakuwake kama CHADEMA wakimuwekea pingamizi JPM na NEC chini ya Kaijage kumuengua... Kaijage atakuwa amejijengea historia ulimwenguni humu ya kukumbukwa hadi kizazi cha nne....
 

mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
695
500
Hivi itakuwake kama Chadema wakimuwekea pingamizi JPM na NEC chini ya Kaijage kumuengua... Kaijage atakuwa amejijengea historia ulimwenguni humu ya kukumbukwa hadi kizazi cha nne....
Itakuwa historia FAKE na dunia haitamuelewa. Hawezi kufanya hilo bila ushahidi usio na shaka!
 

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,364
2,000
Esijiara
Stigilazi
Drimulaina
Maflayiova
Zahanati 400
Na hadithi yangu ikaishia hapo....Huyu mzee ukienda kwenye ballot chamber ukamuwekea tiki ukitoka hapo nakushauri uende mirembe maana una ugonjwa wa ukichaa!
Uzuri sio kila kichaa ni kipofu kuwa haoni chochote . Ila kichaa ni yule mzima wa akili ambaye anaona kitu nakukishika bado anasema hajakiona.
 

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,556
2,000
Kula. Mwalimu atapata Laptop
Milioni 50 kila kijiji
Watumishi wameongezewa mishahara na madaraja
Haki za binadamu ni shwari kabisa
Uchaguzi ni huru na wa haki hauna fitina si mmeona wamepita bila kupingwa
Hali ya ajira imekuwa nzuri na uchumi umepanda
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
9,976
2,000
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.

Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM.

UPDATE:-
mgombea wenu amedodaaaa
 

OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
336
250
Nashuhudia kwa mara ya Kwanza Rais anaongoza term moja.
Safari hii, Mshindi hapangi NEC, CCM, Polisi wala Wapiga kura.

Unauliza ni nani?
Tusubiri 28th October
Mtasubili sana mpaka baada ya miaka 200 ijayo. Mh. JPM ana subiria tarehe maalum ya kuapishwa tuu. Wananchi tupo naye kwenye kampeni bega kwa bega, mlango kwa mlango, kura zote ana achukua anaweka waaaa. Bila kutumia nguvu yeyote.
Awamu hii vip, mtazungusha mikono tena??
 

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,556
2,000
Itakuwa historia FAKE na dunia haitamuelewa. Hawezi kufanya hilo bila ushahidi usio na shaka!
Ushahidi si ndiyo hizo facts ambazo Lissu atazitoa with reference to The national election act,Katiba,na kanuni mfano anaweza kusema Defect ya kwenye fomu ni mathalan mgombea Fulani hana sifa kwa sababu hana sifa za kuwa mbunge,kinyume na ibara y ya katiba,
 

OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
336
250
Kula. Mwalimu atapata Laptop
Milioni 50 kila kijiji
Watumishi wameongezewa mishahara na madaraja
Haki za binadamu ni shwari kabisa
Uchaguzi ni huru na wa haki hauna fitina si mmeona wamepita bila kupingwa
Hali ya ajira imekuwa nzuri na uchumi umepanda
Hayo yote, hapo juu. Yanafanyiwa kazi na yamefanyiwa kazi. Kuwa mpole mzee Saveya. Maendeleo haya chama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom