Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Karibu Sana Arusha JPM.

Wana Arusha wapo tayari kabisa kuruhusu kazi yako nzuri iendelee.

Mitano kwa Samia Hassan na JPM.
 
Ngome zote za saccos, zitatikiswa na king'olewaa zote. Mwenyekiti wa faru John hakuamini alichokiona Kilimanjaro jana. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Hahaha Anafoka vile nani ansogelee?!
Halafu Chid naye anatafutwa amekaa tu, hata hasemi, niko hapa!
Kweli Chiddy Gwajy Ni muhuni yeye anakana kila kitu. Kaukana Ukristo, kaukana mkono wa baunsa, kaikana misukule, duh
JamiiForums1148567575.jpeg
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom