Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Asikudanganye mtu! Huko kaskazini CCM haina chake! Watajitokeza kumsikiliza sababu wanaswagwa na kubebwa kupelekwa huko, lakini tarehe 28 wana lao jambo!
 
Mkuu nmezaliwa Moshi nimekulia Moshi naijuaa Moshi vzr Zaidi ya unavyodhani, huku hatuna matatizo Kama Huko wanaochagua ccm toka 1995.
Wazaliwa wenzio Wa Moshi ndio Wanaosema saa hizi
Kero za maji wanazisema wagombea wa maeneo hayo
Vituo vya afya wanadai wananchi Hao Hao
Shule ni Hao Hao wananchi
Huko Same wanalilia mradi WA maji imemlazimu hadi Naibu waziri WA maji aitwe

Uzuri Wanaosema ni wananchi wa Moshi sio Mimi mkuu

Au unataka kusema RAIS anawaambia wananchi waseme kuna matatizo hata Kama hayapo Kama unavyosema wewe hapa

Wewe upo Kimara saa hizi huwezi kusema

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mchana ni CCM,usiku ni CDM. Subiri atadhangaa tar 28.10.2020

nakumbuka lissu alivoenda arusha, mapokezi aliopata na nnavojua arusha na moshi kwa chadema nkajua tu apa finished, leo nmeamini, sasa ccm ni nchi nzima hakuna cha ngombe ya chadema wala mbowe, kwanza mbowe juzi walimyoosha na mawe
 
Ni mara ya pili tu Magufuli anafika Moshi na mara ya kwanza ilikuwa kuwashukuru wapiga kura 2016 na mara ya pili kwa kampeni 2020 leo. Kinachoshangaza ni jinsi kila anapofika Moshi au K’Njaro anashangazwa na jinsi watu wanavyompokea kwa bashasha pengine kuliko maeneo mengine.

Nafikiri alikuwa amejijengea uadui na watu wa K’Njaro bila sababu ya msingi wakati watu wa K’Njaro hawana uadui naye.
 
Chagua Magufuli Chagua maendeleo ya Kilimanjaro na Tanzania..
Watu wakilimanjaro kimaendeleo wameshaachwa mbali Sana...kisa upinzani..mpaka mkoa Kama Geita maendeleo yake yako juu Sana ukilinganisha na Kilimanjaro...watu wa Kilimanjaro wamebaki tu kusema kwenye mitandao kwamba wanamaendeleo ila ukienda kwenye ukweli..hamna kitu..Ni shida tu Kama mikoa mingine tena na kuzidi
maendeleo ni nini mkuu! maana kila mtu ana tafsiri yake ya maendeleo
 
Back
Top Bottom