Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Na bado mashambulizi kamili ni October 28th maana kura zitakuwa nyingi kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
daaaah kati ya sehem siamini jpm angeenda ndo kilimanjaro na arusha, kama na wao wameitika basi tena! naskia anaenda arusha baada ya hapa, ni kituko
 
Uzuri anapoteza muda katika Mkoa unaojielewa Kilimanjaro hawadanganyiki
Mkuu Imhotep, ninachokifurahia Sana kwenye nji yangu ni pale mtu huyohuyo anapoinuka kusema, Kampeni za mtu furani sitakwenda kabisa Kwa sababu Mimi ni kanda ya kisomi, sidanganyiki, ya nini kupoteza muda wangu?

Mtu huyohuyo tena, siku ya siku anaenda kwenye Kampeni hizi, Ila Anasema tena!! Nimekwenda tu Ila stompa Kura yangu!! Tumweleweje mtu huyu?

Ni Sawa na demu ametongozwa na jamaa ambalo limetumia gharama nyingi Sana kumtafuta Kimapenzi, lakini hakutaka kabisa kulisikiliza, mwisho wa siku atamwambia rafikiye, eti, ngoja Leo nikamsikilize Ila hatonipata!!

Wewe!! labda asiwe kidume kwelikweli!!

Kitendo cha kwenda tu kumsikiliza, lazima kizalishe hatua nyingine
 
Hawa jamaa wavaa kolija hawatakuelewa 😂😂.Ili uende nao sawa unatakiwa kuwaambia Magufuli atapata 2% kwenye uchaguzi huu.
 
Tukimaliza kushambulia wananchi tukapige kura namna hii
 

Attachments

  • IMG-20201021-WA0002.jpg
    IMG-20201021-WA0002.jpg
    98.5 KB · Views: 1
Kama Tundu Lissu alivoshambulia kanda ya ziwa hadi kijijini kwa mhutu chato ambako hawamtaki kabisa magufuli
 
Yuko HIMO sasa hivi hali ni mbaya kwa makamanda.
Huko hakuna wa kuhongwa vitshirt na kubebwa kwenye malori,kampeni ya leo haina watu imepoa kama kichaa wa kafara.
Meko na team yake wako hoi...sisi ndio kaskazini wana wa israel sio chato
 
Sisi watu kutoka Moshi tunakuuliza "umeshawah kusikia tuna shida ya maji, barabara, umeme, hospital, au kukosa madarasa na madawati kwenye shule?

Kilimanjaro ina maendeleo bila CCM
Tatizo hilo mnakaa kushinda jamiiforums mnapiga mapambio hamjui kinachoendelea huko field

Watu wana shida haswa huko huko Moshi unapopasema na RAIS ana ahidi za Kutatua ana Tatua


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom