Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Yaani! Mimi nafikiri sijui anawaza nini sasa hivi anavyoona haya mambo yakitendeka chini ya uongozi wake. Inakuwaje anakuwa so indifferent kwa issues za kitaifa kama hizi zinazopalilia mgawanyiko na chuki za kidini? Mwanamke unakuwa muonezi kiasi hiki halafu unaitwa Mama?Huyu Mama sijui anawaza nini kuhusu kesho yake baada ya kutoka madarakani.
Sometimes nahisi huenda kina JK ndio wanampa kiburi na kumpotosha.Yaani! Mimi nafikiri sijui anawaza nini sasa hivi anavyoona haya mambo yakitendeka chini ya uongozi wake. Inakuwaje anakuwa so indifferent kwa issues za kitaifa kama hizi zinazopalilia mgawanyiko na chuki za kidini? Mwanamke unakuwa muonezi kiasi hiki halafu unaitwa Mama?
So saddening kwa kweli.Sometimes nahisi huenda kina JK ndio wanampa kiburi na kumpotosha.
Acha uibilisi wakoSamia anatosha, yeye ndiye kila kitu.