Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,134
- 159,017
Seriously!!!!!Together we can make a change.
Seriously!!!!!Together we can make a change.
Kumbe ulikopi mahali!!!Unasema?
Sio usmart, Ila huo utamu hauna kwakweli.Article ya gazeti. I'm not that smart.
Sio mawazo tu ujue!!Ha ha ha ha kuna mwenzio alikuwa na mawazo kama yako, mko wengi sana. Endeleeni kuwaza hivyo hivyo, in fact ndio napenda muwe na mawazo hayo.
All of the above.Umewahi kuishi na mimi? Umewahi kuonana au kuongea na mimi? Au kuna mtu aliewahi kuishi na mimi kakusimulia mimi nikoje? Mawazo yako hayabadili ukweli.
Chuki zako hazibadili ukweli.
Makubwa haya!!You are not alone....Keep hating...i'm who I am.
chuki huwa haijifichi....wewe ndio kabisa huwezi kuzuia chuki zako....at least wenzio wanaishia whatsAppMakubwa haya!!
Sasa nikuchukie kisa!! Hizo ni hisia zako.
Labda useme unanichukia thats why unahisi ninakuchukia, wanasema kimjazacho mtu ndicho kimtokacho!!!
Wacha we!!!chuki huwa haijifichi....wewe ndio kabisa huwezi kuzuia chuki zako....at least wenzio wanaishia whatsApp
I'm gonna give you all of my love,
Nobody matters like you uuuu uuu u.
[Only singing].
I'm gonna give you all of my love,
Nobody matters like you uuuu uuu u.
[Only singing].