kuwa makini kwenye kuchagua[kama ulivyo makini kuangalia mwenye pesa] lakini usiseme 'wacha nizae tu niwe single mama' huo ni uselfish.

Walaaaa sio uselfish, vimeo vikijaa no way out inabidi hata mtoto aelewe tu.
 
Pole sana atoto. Haya mambo sometimes unajiuliza, why why? Huwezi kupata jibu...

Kwakweli yaani daah, unatamani umwambie Mungu subiri kwanza, wakati there isnt right time for it.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana BronDO.

Sina hata nguvu za kuongea. Bahati mbayq kuna watu wenye single mothers ila hawajui thamani ya mama zao.

I wish I could get her back even for a single minute.

Ooh nimejikuta unanitoa tu machozi okey RIP mom,,
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu unasoma unaweza ukajikuta unatoa machozi tu.ila mwisho lazima maisha yaende uvumilie na kuwa na imani kuwa inawezekana kesho yakabadilika,ndo mana katika maisha yangu huwa simlaumu hata mama akitupa mtoto anakuwa amefikiria mengi na uwezo wake ukawa umeishia apo na ni hii jamii na mila na desturi zinazochangia aya yote mwanamke ukizaa kabla ya ndoa ni muhuni kitu ambacho siyo kweli kabisa.
 
Discrimination! The word pop up in my head now and then.

We are born to be discriminated. You are discriminated as a Man, you're discriminated as a Woman, Child, Old, Young, Straight, Gay, Sick, Healthy, Fat, Skinny.

The list is endless. In every move you make there is some degree of discrimination, and it isn't necessarily a bad thing. Just need to learn to accept it and live lest you will be confined in the realm of discrimination.
If i were a "single mother" (as if there is a double mother) i would tell people to take their sympathies and shove them somewhere or give them to other discriminated group, like Men maybe......
This World is so full of effin labels
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom