Pongezi kwenu Single Mothers

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,270
2,000
Mie ni 14years now ila hata sizoei, so i can feel the pain
Pole sana atoto. Tuwaombee kwa Mungu mama zetu wapumzike kwa amani. They fought and won a holy war, and they deserve a peaceful rest in His glory.
 
Last edited by a moderator:

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,606
2,000
Single mother is a choice! Some women thy chose to be/live like a man!

Some of them, Yes, we can appreciate them...but other sorry! Kuna wadada wa matatizo sana, unazaa naye, una malengo naye..ila baada ya muda unaleta visa ambavyo havieleweki kichwa wala miguu.. nakuta anaachwa.. Then utasikia, lakini haya maisha nilijitakia mwenyewe....

Au unakubali kubeba mimba ya mwanaume bila ndoa, ukitegemea kuolewa!
What about widows? are they widows by choice?
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,606
2,000
Ahsante sana BronDO.

Sina hata nguvu za kuongea. Bahati mbayq kuna watu wenye single mothers ila hawajui thamani ya mama zao.

I wish I could get her back even for a single minute.
Kuna rafiki yangu mmoja huwa natamani nimpe makonzi jinsi anavyomuendesha maam ake! zee zima kama mimi ila dah hasara!
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,606
2,000
there is a big difference btwin widow na single mother, widow amefiwa na mume while as single mum hajaolewa au kaachika which bado ni kutokana na selfishness
Brah the point here is raising kids on her own whether a widow or divorced or not married at all....They all have one thing in common.....they got no husband.....what you are talking about is the reason to be single mother.
 

Gemmy

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,204
1,250
Respect kwa mama yangu japo huwa wanakuwa na stress sana kuna muda wanaona kama wamelemewa sasa ufanye ujinga kidogo hasira zote anamalizia kwako Mungu awasaidie maana kuna muda mambo huwa yanawakaba mnoo!sperm donor hawana habari na kama ni mjane mashemeji au mawifi kila mtu na family yake
Nimekumbuka mambo mengi!
 

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
50,574
2,000
Nimepata tabu kusoma ila at least nimeelewa kidogo...let's respect single mothers kwa kweli
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,606
2,000
For the first tym jmn single mothers naona thread positive abt them,maisha haya bana tumuombe tu Mungu,
MUNGU awape nguvu all single mothers, respect kwenu
Wewe binti uko wapi? Nitajie ID yako mpya PM....
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Mookiesbad98 Disadvantages of dating single mothers The Palace 15
jerrytz Why are single women attracted to married men? The Palace 17
Top Bottom