..what about ''single but married mothers'', hats off to them as well...
 
Hhaahahahaa nimesoma mara tatu kuelewa japo nahisi bado sijaelewa...... correct me if I get it wrong..........

You mean married woman but are single moms coz their husbands eithet are busy with kutafuta hela au busy enjoying life with other women and left malezi na kilakitu kwa mwanamke hece single married women.....!!!???
If so...................Very big respect to them!!
 
Single mother is a choice! Some women thy chose to be/live like a man!

Some of them, Yes, we can appreciate them...but other sorry! Kuna wadada wa matatizo sana, unazaa naye, una malengo naye..ila baada ya muda unaleta visa ambavyo havieleweki kichwa wala miguu.. nakuta anaachwa.. Then utasikia, lakini haya maisha nilijitakia mwenyewe....

Au unakubali kubeba mimba ya mwanaume bila ndoa, ukitegemea kuolewa!
 
Penda sana wewe mwanamke ubarikiwe...! Shida wakisifiwa mibichwa inawavimba waache kuwa desperate wakijipanga waweza kuwa na wenza shida yao wazazi wenzao wengi wao ni michepuo yao...! NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE ATA WALIO IKOSA...

Aah leo tunawaappreciate tu kwa wanachokifanya bana. Hizo lawama kwa leo tuziache kidogo bana
 
Hhaahahahaa nimesoma mara tatu kuelewa japo nahisi bado sijaelewa...... correct me if I get it wrong..........

You mean married woman but are single moms coz their husbands eithet are busy with kutafuta hela au busy enjoying life with other women and left malezi na kilakitu kwa mwanamke hece single married women.....!!!???
If so...................Very big respect to them!!
You got me right mum!...married but single, they endure torrid moments in raising kids all by themselves. Uliza waume zao wapo wapi. utapata jibu..
 
Ahsante sana BronDO.

Sina hata nguvu za kuongea. Bahati mbayq kuna watu wenye single mothers ila hawajui thamani ya mama zao.

I wish I could get her back even for a single minute.

Babuu maneno yako yamenifanya nivute hisia za huzuni polee sana. Have my hug for comfort.
 
Last edited by a moderator:
You got me right mum!...married but single, they endure torrid moments in raising kids all by themselves. Uliza waume zao wapo wapi. utapata jibu..

Shame to those husbands halafu mtoto akifanikiwa nakuwa prominent person baadae ndo utamuona baba anakuja na kengele zake that's my son.... or that's my daughter kumbe hata hata shule aliyosoma mtoto wake hujui. Big shame ila ndo hivo wanaume wa hivo hawana hata haya.

Utakuta mama kama samaki wa kukaanga au kuuza mama ntilie ili mwanae asome baba anacheza bao au yuko na vidosho.
 
Wengi kweli hao hadi kichefuchefu
 
Kabisa, wengi wamekosa mshipa wa aibu. Baada ya mama kuishi kwa shida, kukopa na hata kujidhalilisha ili watoto wasome, wakifanikiwa tu unaona hao na kujipraudi kuwa mwanangu ni rubani, daktari, mhandisi

Ni bora kuwa single ukajua upo single, kuliko kuwa na mtu kama hayupo vile...
 
Kabisa, wengi wamekosa mshipa wa aibu. Baada ya mama kuishi kwa shida, kukopa na hata kujidhalilisha ili watoto wasome, wakifanikiwa tu unaona hao na kujipraudi kuwa mwanangu ni rubani, daktari, mhandisi...
Ni bora kuwa single ukajua upo single, kuliko kuwa na mtu kama hayupo vile...

Thats my darling ex, hivi wewe ni ex au? Mbona sikuelewi?
 
Sasa kuliko kuwa na baba jina anayejua kuning'iniza kengele zake tu si bora hiyo picha isiwepo ndani ijulikane moja!!

kuwa makini kwenye kuchagua[kama ulivyo makini kuangalia mwenye pesa] lakini usiseme 'wacha nizae tu niwe single mama' huo ni uselfish.
 
Babuu maneno yako yamenifanya nivute hisia za huzuni polee sana. Have my hug for comfort.

Mdogo wangu Kasinde, ahsante sana. It's hard to take the bitter fact that the sweet mom is gone!

Tumwachie tu Mungu.

Cc King'asti

Pole sn babu, daaaah RIP mom.

Ahsante atoto. Ni miezi sita tu ila ni ngumu kujua tumepitaje katika kipindi hiki.
 
Mdogo wangu Kasinde, ahsante sana. It's hard to take the bitter fact that the sweet mom is gone!

Tumwachie tu Mungu.

Cc King'asti

Ahsante atoto. Ni miezi sita tu ila ni ngumu kujua tumepitaje katika kipindi hiki.

Mie ni 14years now ila hata sizoei, so i can feel the pain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom