Hata kama bajeti yake ni TSH 100/= tunaomba kujua unafaida gani huo mwenge binafsiUnaweza kudhibisha hiyo bajeti ya bilioni 400 kuwa ni sahihi.!
Ni milioni au bilioni 400 ? Lile daraja la kigamboni (Nyerere Bridge) liligharimu bilioni 254!Habari wadau!
Leo Makamu wa rais Zanziber kazindua mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na kauli mbiu ya maendeleo ya Viwanda.
Naomba anaye fahamu umuhimu wa kukimbiza mwenge na matumizi ya zaidi ya bilioni 400.
Nini faida yake?
Labda utalalamika wewehata ukizuiliwa bado watu mtalalama tu.
oooh kulikua kuna watu wamejiajiri kupitia mbio za mwenge. na mambo mengine kedekede
Waswahili sisi tuna jema.
Akili ya mwanaCCM hii....Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
anaeuchukia mwenge atakua mchawiAkili ya mwanaCCM hii....
Haya hongereni.
Watz gani mkuu? Mbona mimi sijawahi kuvutiwa na mwenge wala ccm?Zindiko la nchi lile...
Kwa hiyo kutumia gharama kwao sio ishu kubwa sana kwao.
Cha muhimu kwao ni kuendelea kuwalaza Watanzania kichawi na chama cha kijani kuendelea kushika hatamu.