hata ukizuiliwa bado watu mtalalama tu.
oooh kulikua kuna watu wamejiajiri kupitia mbio za mwenge. na mambo mengine kedekede

Waswahili sisi tuna jema.
 
Hauna faida yoyote bali kuwaonea wafanyakazi wa Serikali hasa walimu ambao nchi nzima wanakatwa pesa zao chungu nzima tena bila ridhaa yao eti kwa mafuta ya mengi. Ni wizi mtupu wa mabilioni ya pesa za walipa kodi na kwa kujua kumejaa wizi kwenye pesa hizo hawataki CAG azikague.
 
Habari wadau!

Leo Makamu wa rais Zanziber kazindua mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na kauli mbiu ya maendeleo ya Viwanda.

Naomba anaye fahamu umuhimu wa kukimbiza mwenge na matumizi ya zaidi ya bilioni 400.

Nini faida yake?
Ni milioni au bilioni 400 ? Lile daraja la kigamboni (Nyerere Bridge) liligharimu bilioni 254!

In any case, sikubaliani na kukimbiza mwenge
 
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
 
Zindiko la nchi lile...

Kwa hiyo kutumia gharama kwao sio ishu kubwa sana kwao.

Cha muhimu kwao ni kuendelea kuwalaza Watanzania kichawi na chama cha kijani kuendelea kushika hatamu.
Watz gani mkuu? Mbona mimi sijawahi kuvutiwa na mwenge wala ccm?
 
Halafu watawachangisha na kuwalazimisha watumishi hasa walimu kuchangia na kulala kwny mwenge!!!
Hahahaaaaaa vi-wonder
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom