johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,148
Halima Mdee siyo sawa na Zitto Kabwe, hafukuzwi mtu!Maneno ni matatu tu ndugu mnyika usirembe FU...KU...ZA
Halima Mdee siyo sawa na Zitto Kabwe, hafukuzwi mtu!Maneno ni matatu tu ndugu mnyika usirembe FU...KU...ZA
Hapa wanaitwa ili kuombana msamaha, kuweka utaratibu mzuri wa kuchangia chama na maisha yaendeleeKatibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu
Ubavu huo Mnyika hana maana na yeye ni mchumia tumbo tu, kama kweli anaweza angejihudhuru yeye maana amedharauliwa.Nataka kisikia maneno mawili,,,,wamefutwa uanachama
Na mtavurugwa kweli kweli.Samptasapta chambichumiopo
KudhunikundsaNa mtavurugwa kweli kweli.
Chadema iliondoka na Dr Slaa!
Mnyika anajiuzulu na Nyalandu atakuwa kaimu Katibu mkuu!ubavu huo mnyika hana maana na yeye ni mchumia tumbo tu, kama kweli anaweza angejihudhuru yeye maana amedharauliwa.
Swala kubwa kama hili kumuachia katibu aongee ni usanii wa Mbowe. Hili ni swala la Mwenyekiti sio katibu.
Akili kisoda membe aliyekuwa anaikosoa serikali kwa maslahi ya Nchi mbona alifukuzwa?? Mbona leo mnawataka Bungeni wakati mlishasema hamtaki wabunge wa upinzani??? Una akili za kamasyChama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Kwa hiyo mlitaka Nisurat aozee mahabusu?Katibu Mkuu wa CHADEMA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchakato wa wabunge wa Viti Maalum ambao wameapisha siku ya jana tarehe Novemba 24, 2020.
Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu mwingine.
Katibu Mkuu amesema kwamba wabunge wote walioapishwa Novemba 24 wamewekwa na mfumo na hawana baraka za chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mwanachama wetu aliyekuwa na kesi ya jinai ya kubambikiwa kwa muda mrefu Nusrat Hanje alitolewa gerezani tarehe 23 Novemba na mfumo ili watimize adhma yao.
Ni mapema mno, utamtafuta askofu Gwajima akutoe mapepo wewe bush lawyer!Kudhunikundsa
Sheria umesoma matakoniChama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Mmeo Slowslow kakuruhusu uondoke Lumumba???Niko Ufipa bwashee naona Mnyika amebeba mazagazaga yake yote nadhani atatangaza kujiuzulu!
Hii ni habari njema, kwa vile hakuna kikao chochote cha dharura cha Kamati Kuu, then kesho CC itakaa kati ya leo na kesho, hiyo keshokutwa ni kukabidhiwa barua zao za mashitaka mchakato wa nidhamu uanze. At least now Chadema wame grow up, wanafanya mambo yao kiutu uzima, kwa heshima, staha na kuzingatia taratibu na kanuni.Katibu Mkuu wa CHADEMA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchakato wa wabunge wa Viti Maalum ambao wameapisha siku ya jana tarehe Novemba 24, 2020.
Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu mwingine.
Mwanachama wetu aliyekuwa na kesi ya jinai ya kubambikiwa kwa muda mrefu Nusrat Hanje alitolewa gerezani tarehe 23 Novemba na mfumo ili watimize adhma yao.
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Kama vipi nenda naye home kwake akuoe kabisaNiko Ufipa bwashee naona Mnyika amebeba mazagazaga yake yote nadhani atatangaza kujiuzulu!
Hahahaaaa..... Tuko Ufipa kwenye mazishi ya Chadema!Mmeo Slowslow kakuruhusu uondoke Lumumba???
mataga mmepanic baada ya kuona wasaliti wenu wameachwa uchiMajina kapeleka Mbowe hilo mbona linajulikana.
Leo Mnyika anajiuzulu na Nyalandu atakaimu ukatibu mkuu!