John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki.

Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila kuzua mjadala kuhusu uhalali wa majibu yako. Hakuna majibu yakupika

Lakini eneo la pili anaonekana wazi siyo mwanasiasa bali ni binadamu mwenye uwezo na ufahamu sahihi kuhusu mahitaji ya Dunia kabla,sasa na baadaye. Anatambua wazi kwamba CHADEMA siyo nchi bali ni chama cha siasa kilichoundwa kukidhi matakwa ya mfumo wa kisiasa na kwamba kupitia taasisi hii upo uwezekano mkubwa wa binadamu waliopo ndani kupishana kimtazamo.

Mfano mzuri ni pale alipokiri kwamba yeye binafsi alikataa kumpokea Lowasa, lakini mwisho akaona kiu ya kisiasa ya kuiondoa CCM madarakani iliyokuwa ndani ya watu walio wengi na hapo ndipo alikubali kuendelea kutokukubaliana na msimamo wa chama kuhusu aina ya mgombea wao lakini akaamua kuunga mkono maono ya wananchi ya kuiondoa CCM madarakani.

Tafsiri kubwa hapa anatuambia si chadema wala CCM wanaoweza kuitoa nchi hapa ilipokwama isipokuwa watanzania kuamua kuunda mfumo wa kikatiba unaotoa haki na unaosimamia nidhamu ya kisiasa na serikali. Incase tukipata mfumo sahihi wa kikatiba may be tunaweza kufuata mfumo wa Kenya ambapo ikifika uchaguzi zinaundwa pande mbili let say UPANDE YANGA NA UPANDE WA SIMBA AU NG'OMBE NA MBUZI AU KUSHOTO NA KULIA THEN MNAUZA SERA WANANCHI WANACHAGUA.

Maono ya Mnyika yanatufumbua macho kwamba tuache imani kwa chama tubaki na imani ya nchi. Kenya wanapiga hatua kwa sababu hakuna akili zinazosubiri kuwa chawa zipewe nafasi....kila nafasi inamgumo wa ushindani.

Lakini jambo la mwisho kuhusu John Mnyika ni uwezo wake wakusimama kama Katibu mkuu na chama kubaki imara kipindi cha JPM. Kusimama imara kutetea chama dhidi ya waovu wa tume ya uchaguzi ambao walifikia hatua yakughushi nyaraka na kuzipeleka Bungeni.......Mnyika amesema wazi kwamba Tume ya Uchaguzi haijawahi kuonyesha popote barua yakuwapitsha akina Mdee iliyodaiwa kutolewa na Chadema. Maana yake anakiri kwamba pamoja na mawimbi mazito alisimama kama katibu mkuu na itoshe kusema kwamba huyu ndiye katibu mkuu bora kuwahi kutokea baada ya Mzee Kinana na Dr. Slaa. Katika mazingira ya kawaida, Mbowe alifahamu msimamo wa Mnyika dhidi ya Lowasa lakini alidiriki kumpendekeza kuwa katibu mkuu jambo ambalo siyo dogo. Uvumilivu wake ungekuwa mdogo angeungana na Slaa na matokeo yake angekuwa ameshapoteza dira kisiasa au ni DC kama walivyo akina Nassary, Mashinji nk

Natamani atunukiwe nishani ya utumishi uliotukuka
 
Mnyika alikuwa Bora muda wote, tena alipoa baada ya blunder ya kupokelewa kwa Lowassa ndani ya cdm. Nakumbuka Mnyika alikuwa anaweza kushikilia hoja yake ndani ya bunge Hadi apate majibu sahihi toka serekalini. Sikuwahi kuona mbunge shupavu na anayejua wajibu wake wake kama yeye wakati akiwa bungeni.

Hata dhalimu magu alikuwa anamkubali sana Mnyika, ila kwa bahati mbaya Mnyika hakuwa muumini wa viongozi walevi wa madaraka, ndio maana hakwenda kuunga mkono juhudi enzi za siasa chafu za yule kiongozi muovu.
 
Ni kweli hajawahi kuweka vyeti vyake vya kitaaluma hadharani lakini inasemekama ana A za kutosha sana
 
Mnyika yuko nondo kweli ni kati ya wanasiasa nawakubali mno.
Serikali ione jinsi ya kumtumia kusaidia taifa
Ushaanza kwani upinzani hawataki vitu bora? Nyie si mna uvccm yenu kachoteni huko.Mnyika ni asset ya future hukuhuku upinzani akija huko mtamuharibu vijana wote wazuri waliokuja kwenu mmewaharibu
1. Nassary
2. Zitto
3.Silinde
4. Mashali
5. Mdeecovid
6. nk
Huyu mnyika muacheni kabisaaa
 
Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki.

Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila kuzua mjadala kuhusu uhalali wa majibu yako. Hakuna majibu yakupika

Lakini eneo la pili anaonekana wazi siyo mwanasiasa bali ni binadamu mwenye uwezo na ufahamu sahihi kuhusu mahitaji ya Dunia kabla,sasa na baadaye. Anatambua wazi kwamba CHADEMA siyo nchi bali ni chama cha siasa kilichoundwa kukidhi matakwa ya mfumo wa kisiasa na kwamba kupitia taasisi hii upo uwezekano mkubwa wa binadamu waliopo ndani kupishana kimtazamo.

Mfano mzuri ni pale alipokiri kwamba yeye binafsi alikataa kumpokea Lowasa, lakini mwisho akaona kiu ya kisiasa ya kuiondoa CCM madarakani iliyokuwa ndani ya watu walio wengi na hapo ndipo alikubali kuendelea kutokukubaliana na msimamo wa chama kuhusu aina ya mgombea wao lakini akaamua kuunga mkono maono ya wananchi ya kuiondoa CCM madarakani.

Tafsiri kubwa hapa anatuambia si chadema wala CCM wanaoweza kuitoa nchi hapa ilipokwama isipokuwa watanzania kuamua kuunda mfumo wa kikatiba unaotoa haki na unaosimamia nidhamu ya kisiasa na serikali. Incase tukipata mfumo sahihi wa kikatiba may be tunaweza kufuata mfumo wa Kenya ambapo ikifika uchaguzi zinaundwa pande mbili let say UPANDE YANGA NA UPANDE WA SIMBA AU NG'OMBE NA MBUZI AU KUSHOTO NA KULIA THEN MNAUZA SERA WANANCHI WANACHAGUA.

Maono ya Mnyika yanatufumbua macho kwamba tuache imani kwa chama tubaki na imani ya nchi. Kenya wanapiga hatua kwa sababu hakuna akili zinazosubiri kuwa chawa zipewe nafasi....kila nafasi inamgumo wa ushindani.

Lakini jambo la mwisho kuhusu John Mnyika ni uwezo wake wakusimama kama Katibu mkuu na chama kubaki imara kipindi cha JPM. Kusimama imara kutetea chama dhidi ya waovu wa tume ya uchaguzi ambao walifikia hatua yakughushi nyaraka na kuzipeleka Bungeni.......Mnyika amesema wazi kwamba Tume ya Uchaguzi haijawahi kuonyesha popote barua yakuwapitsha akina Mdee iliyodaiwa kutolewa na Chadema. Maana yake anakiri kwamba pamoja na mawimbi mazito alisimama kama katibu mkuu na itoshe kusema kwamba huyu ndiye katibu mkuu bora kuwahi kutokea baada ya Mzee Kinana na Dr. Slaa. Katika mazingira ya kawaida, Mbowe alifahamu msimamo wa Mnyika dhidi ya Lowasa lakini alidiriki kumpendekeza kuwa katibu mkuu jambo ambalo siyo dogo. Uvumilivu wake ungekuwa mdogo angeungana na Slaa na matokeo yake angekuwa ameshapoteza dira kisiasa au ni DC kama walivyo akina Nassary, Mashinji nk

Natamani atunukiwe nishani ya utumishi uliotukuka
Chadema inatambua uwezo wa John Mnyika
 
Mnyika alikuwa Bora muda wote, tena alipoa baada ya blunder ya kupokelewa kwa Lowassa ndani ya cdm. Nakumbuka Mnyika alikuwa anaweza kushikilia hoja yake ndani ya bunge Hadi apate majibu sahihi toka serekalini. Sikuwahi kuona mbunge shupavu na anayejua wajibu wake wake kama yeye wakati akiwa bungeni.

Hata dhalimu magu alikuwa anamkubali sana Mnyika, ila kwa bahati mbaya Mnyika hakuwa muumini wa viongozi walevi wa madaraka, ndio maana hakwenda kuunga mkono juhudi enzi za siasa chafu za yule kiongozi muovu.
Huyu ndiye mgombea wangu wa urais kwa CHADEMA 2025! Naamini yuko above 40 sasa! Wampe kijiti atuvushe!
 
Back
Top Bottom