fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,165
- 3,655
Jibu la maswali yote hayo Ni moja tu.CHADEMA NI MATAPELI WA SIASA TU,MASLAHI MBELE MENGINE BADAE.Maswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/Mnyika:
1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?
2. Orodha hiyo imepelekwa kwa njia gani?
3. Kama msimamo wa chama na wa Katibu Mkuu ni kuwa Orodha haikupelekwa, walioapishwa jana walipatikanaje?
4. Hatua gani zinachukuliwa na CHADEMA ikiwa usaliti umetokea?
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
6. Nani yuko nyuma ya suitafahamu hii nzima ndani ya CHADEMA na anashughulikiwaje?
WACHA TU WAPAMBANIE WAPATE UBUNGE WALIPE MIKONO YAO