Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu
Hapa wanaitwa ili kuombana msamaha, kuweka utaratibu mzuri wa kuchangia chama na maisha yaendelee

Kwa sasa CHADEMA haina ubavu wa kuwatimua uanachama hawa watu. Hii self-created saga itamalizwa kiutu uzima behind the scene. Hapa kama kuna mtu wa kuondoka/kufukuzwa uanachama atakuwa Mnyika mwenyewe

Lissu yeye aendelee kujilia bata tu huko Ulaya. Wenzie huku ni wasaka tonge
 
Mbowe ni Rafiki mkubwa sana wa Afisa Kipenyo Mstaafu na Luteni Kanali wa zamani wa JWTZ ambae aliwahi kuwa Rais wa Tanzania,

Yule Mstaafu alikuwa ana style ya kupiga kimya ili upepo upite na ndicho anachofanya Mbowe siku hizi

Siasa zetu hazitaki Jazba

Halima Mdee alikataa Kupeana Mkono na Mashinji kwny Viunga vya Mahakama ya kisutu kqa madai eti hataki uhusiano na Msaliti… siku chache baadae tunagundua alieratibu na kuhariri draft zero ya Wabunge wa viti maalum Chadema ni Comrade Mashinji kwa kushirikiana na Halima Mdee

Kidumu chama cha Mapinduzi

Swala kubwa kama hili kumuachia katibu aongee ni usanii wa Mbowe. Hili ni swala la Mwenyekiti sio katibu.
 
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.

Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Akili kisoda membe aliyekuwa anaikosoa serikali kwa maslahi ya Nchi mbona alifukuzwa?? Mbona leo mnawataka Bungeni wakati mlishasema hamtaki wabunge wa upinzani??? Una akili za kamasy
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchakato wa wabunge wa Viti Maalum ambao wameapisha siku ya jana tarehe Novemba 24, 2020.

Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu mwingine.

Katibu Mkuu amesema kwamba wabunge wote walioapishwa Novemba 24 wamewekwa na mfumo na hawana baraka za chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Mwanachama wetu aliyekuwa na kesi ya jinai ya kubambikiwa kwa muda mrefu Nusrat Hanje alitolewa gerezani tarehe 23 Novemba na mfumo ili watimize adhma yao.
Kwa hiyo mlitaka Nisurat aozee mahabusu?
Huyo Nisurat ana jasho lake kwenye chama,
Aliwekwa ndani kwa sababu ya chama, hivyo anastahili hiyo nafasi
 
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.

Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Sheria umesoma matakoni
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchakato wa wabunge wa Viti Maalum ambao wameapisha siku ya jana tarehe Novemba 24, 2020.

Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu mwingine.

Mwanachama wetu aliyekuwa na kesi ya jinai ya kubambikiwa kwa muda mrefu Nusrat Hanje alitolewa gerezani tarehe 23 Novemba na mfumo ili watimize adhma yao.
Hii ni habari njema, kwa vile hakuna kikao chochote cha dharura cha Kamati Kuu, then kesho CC itakaa kati ya leo na kesho, hiyo keshokutwa ni kukabidhiwa barua zao za mashitaka mchakato wa nidhamu uanze. At least now Chadema wame grow up, wanafanya mambo yao kiutu uzima, kwa heshima, staha na kuzingatia taratibu na kanuni.
Big up Chadema.
P
 
Pumbavu mkubwa, mbn ccm wakifukuzwa maslahi mapaana ya taifa hayazingatiwi.
Afterall walifuata utaratibu na kanuni za chama? Kama wamekiuka wafukuzwe paka pori wale
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.

Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
 
HABARI: Tumeitisha kikao cha kamati kuu Ijumaa 27 Novemba 2020, Dar es Salaam na tutawaandikia wahusika ili kisitokee kisingizio hakupata taarifa, natangaza wito kwa wanachama wetu 19 walioshiriki kuapishwa kufika makao makuu Kinondoni Ijumaa saa 2:00 asubuhi – John Mnyika https://t.co/yy9D1NGNpB

HABARI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilituandikia barua 10 Novemba 2020 kutueleza haijapokea majina ya wabunge wa viti maalum na kutuomba kuyawasilisha ikiwemo fomu namba 8D inayopaswa kuwa na ithini ya katibu mkuu wa chama na mimi sijajaza yoyote – John Mnyika https://t.co/j8lQozo0JO

HABARI: Chama hiki kitaendelea na kitapita salama. Kitaendelea kujipanga kwenda kushika dola. Chadema kimekuwa kikiwaita viongozi wakubwa, kuhojiwa na kuchukuliwa hatua na bado kikavuka salama- John Mnyika, Katibu Mkuu Chadema https://t.co/uOZgGhIVP0
 
63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom