PSG msimdhamini, mechi aliimaliza tokea firs leg. Leo anaweza cheza kwa kurelax kama alivyofanya bayern jana.
 
sio lazma uropoke,kama hujui funga bakuli lako,unajua sheria za uefa wewe?
Wakujilipua
Man city,psg,wigan

wa mtaji
barca,wigan,blackbrn,psg
 
kaka mbona unaongea kama unakata gogo,mshkaji alichosema ni sawa, kwani hata psg wakifungwa idadi isiyofika 4 ya magoli wanasonga mbele,so wanaweza ata kutoa draw. sheria gani za uefa unazozizungumzia wewe?
 
jamani psg leo anapiga goli nyingi kumbukeni zlatan anataka kuweka rekodi ya magoli msimu huu. halafu levekusen wameshachanganyikiwa tyri.
 
kaka mbona unaongea kama unakata gogo,mshkaji alichosema ni sawa, kwani hata psg wakifungwa idadi isiyofika 4 ya magoli wanasonga mbele,so wanaweza ata kutoa draw. sheria gani za uefa unazozizungumzia wewe?

funga bakuli wewe
 
sio lazma uropoke,kama hujui funga bakuli lako,unajua sheria za uefa wewe?
Wakujilipua
Man city,psg,wigan

wa mtaji
barca,wigan,blackbrn,psg

Ustaarabu kitu cha bure jombaa, mambo ya kuambiana kuwa ninaropoka yanakujaje hapa.?

Jiheshimu jombaa.
 
Hi Guys,

My name is Roburt Arnoldi, I manage iPlay8Casino.com . We started the online sportsbetting and casino about 4 months ago after we got licensed by the Tanzania gaming board. It would be great for you guys to give me your opinions of our system and even suggestions for us to improve anything. I am still learning Swahili, but feel free to answer in any language. You can also email me directly at roburt@iplay8casino.com with questions. I will try and answer whatever questions you guys have.
 
Dully admin wa iplay kaona isiwe shida kakufuata yeye, huyo hapo muulize kuhusu matatizo yako..
 
Hi Guys,

My name is Roburt Arnoldi, I manage iPlay8Casino.com . We started the online sportsbetting and casino about 4 months ago after we got licensed by the Tanzania gaming board. It would be great for you guys to give me your opinions of our system and even suggestions for us to improve anything. I am still learning Swahili, but feel free to answer in any language. You can also email me directly at roburt@iplay8casino.com with questions. I will try and answer whatever questions you guys have.

ok,tunashukuru kwa kututembelea humu!
Mimi nakumbana na tatizo la kushindwa kubet kwa kukosa kupata page yenye list ya mechi za siku husika,
ila kabla ya hapo nilikuwa naipata ila nikaambiwa siwezi kubet mpaka nideposit kiasi cha pesa ila nilivyofanya hivyo ndio nikaanza kupata hilo tatizo.

2.device gani ambazo zinaweza kukuwezesha kufanya hii shughuli?ni computer tu?au hata simu?

3.zile 8doller kazi yake nini?

4.kiwango cha chini cha kudeposit pesa ni kiasi gani?na unatakiwa kudeposit wakati gani?kabla au baada ya kupanga mkeka wako?

Nafikiri ningepata majibu ya hayo kwanza,kama kutakuwa na ya kuongeza nitarudi.
Karibu mheshimiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom