wakuu na mimi najijunga hiyo meridian sasa apo kwenye promo code unaandika nini tena
 
sasa mkuu hizi ele utazitoaje///??

Wala hainaga shida ukituma request ya kudroo hela wanakutumia wenyewe kwa tigo/mpesa!!
 

Attachments

  • 1393762385145.jpg
    1393762385145.jpg
    56.4 KB · Views: 96
wakuu habari,mimi ni mtumiaj wa m bet but nmevutiwa na meridian baada ya kuona comment za watu,sasa nmefungua accnt tatizo ilmekuja kwenye kubet yaan hata sielewi naenda wapi ,sasa wakuu naomba mnisaidie japo kwa kunipa mwanga 2 ntashukuru sana,NIPO MBEYA
 
Nenda kwenye meridianbet shop yoyote weka pesa kwenye account yako.Baada ya hapo kwenye mtandao fungua www.meridianbet.co.tz, ikishafunguka utatakiwa kulog in kwa kutumia email na password yako uliyotumia kufungulia account.Ukisha log in itakuletea match kibao.Nadhani jinsi ya kubet unafahamu.kwa mfano zikishakuja hizo mechi itakuwa na option ya win, draw win (kwa maana ya H na A) ukichagua home team win yenyewe itaenda kwenye bet ticket utaiona tu inakuja kwa juu kulia.Ukitaka option nyingine hapo chini ya majina ya timu kuna other bet click hapo.Nadhani utakuwa umenielewa kidogo
 
Hiyo ni lazima uende pale kwenye betting station yao yeyote.Hapo ndiyo watakuingizia kwenye account na watakupa na risiti ya malipo hayo
 
Full kujiripua km mbwaimbwai tu!
Nimempa
sunderland
barcelona
napoli
fiolentina
wolfsburg
lyon
spurs
ktk nomo!
Alf mkeka wa pili nimempa man city kwa ajil ya mtaji
Alf mkeka wa pili
 
Full kujiripua km mbwaimbwai tu!
Nimempa
sunderland
barcelona
napoli
fiolentina
wolfsburg
lyon
spurs
ktk nomo!
Alf mkeka wa pili nimempa man city kwa ajil ya mtaji
Alf mkeka wa pili

muhindi andaa pesa zangu man shit kashaunguzwa kidude huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom