Sorry.. naomba kuuliza.. ukitaka kutoa pesa kutoka paripesa, unatumia njia gani.. maana njia ya kutoa kupitia mitandao ya simu haipo, ipo kwenye kuweka tu.
Njia ipo mkuu. Bonyeza icon ya menu, kisha nenda settings utakutana na option ya Withdraw kama hii hapa chini
Screenshot_20240328-002325.png
 
Wakuu ina maana tangu 2024 ianze hakuna mwamba amempiga Kanji kuanzia 10M na kuendelea kwa stake ya chini ya 5k?
Kipengele hiko!!! Maana kuna timu ni kama zilikuwa zikifanya makusudi,,,,, tulikuwa tukionyeshwa tu na kuulizwa "nikeshi out" ni kama walikuwa wakijichulia vipigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom