Nimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.

Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
Naukila Hela mpaka upige picha Tena eti wathibitishe kama ni wewe mafala sana hao kenge kaa mbali kabisa
 
share_1710428377752.jpeg
 
Naukila Hela mpaka upige picha Tena eti wathibitishe kama ni wewe mafala sana hao kenge kaa mbali kabisa
Wanatakiwa wajiamini watoe mkwanja endapo mtu atakula nyingi ndo verification ya jina na ID yako ifanyike, lakini hizi ndogo ndogo sijui laki au laki 2 kikubwa hazizidi million 5 wenzao hawahangaiki na kampuni zingine hata zaidi ya hiyo wanakuacha unazipunguza mwenyewe Kwa mtandao wako wa simu
 
Verification ya nini kwa mchezaji ? Wao wanatakiwa kufanya Verification kwenye mikeka tu kama ni ushindi halali basi ....
 
source: LSFOOTBALL wa facebook

๐Ÿšฉโ€ขโ€ข#TODAYS_REGULAR_TIPSโ€ขโ€ข๐Ÿšฉ
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ#UEL
18:45;๐Ÿด๓ง๓ข๓ณ๓ฃ๓ด๓ฟ Rangers ๐Ÿ†š Benfica ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น - Ov 1.5
18:45;๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Slavia Prague ๐Ÿ†š AC Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น - X2
18:45;๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Villarreal ๐Ÿ†š Marseille ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท - Ov 1.5
18:45;๐Ÿด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ West Ham ๐Ÿ†š๏ธ Freiburg ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช - 1X
21:00;๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Atalanta ๐Ÿ†š Sporting CP ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น - Ov 1.5
21:00;๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayer Leverkusen ๐Ÿ†š Qarabag ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฟ - Home
21:00;๐Ÿด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ Brighton ๐Ÿ†š๏ธ AS Roma ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น - Ov 1.5
21:00;๐Ÿด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ Liverpool ๐Ÿ†š Sparta Prague ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ - Home
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ#UECL
18:45;๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Fenerbahรงe ๐Ÿ†š Royale Union SG ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช- 1X
18:45;๐Ÿด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ Fiorentina ๐Ÿ†š Maccabi Haifa ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ - Ov 1.5
18:45;๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท PAOK ๐Ÿ†š D. Zagreb ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท - 1X
18:45;๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Plzen ๐Ÿ†š Servette ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ - 1X
21:00;๐Ÿด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ Aston Villa ๐Ÿ†š Ajax ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ - Ov 1.5
21:00;๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge KV ๐Ÿ†š Molde ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด - 1X
21:00;๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Lille ๐Ÿ†š Sturm Graz ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น - 1X
21:00;๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ M. Tel Aviv ๐Ÿ†š Olympiacos Piraeus ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท - X2
โ€ข
22:00;๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ MC Alger - ASO Chlef - Home
20:00;๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Abha ๐Ÿ†š Al Wehda
20:00;๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Al Hazem ๐Ÿ†š Al Shabab
20:00;๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Al Khaleej ๐Ÿ†š Al Akhdoud

๐Ÿ’ต Total Games: 20
๐Ÿ“ Pick: 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom