zero percent
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 561
- 646
Galatasaray anapigwa msumari wa pili hapa
Nimeona tupo location moja tutafutane inbox
Ninge,huja mwisho wa safari mkuu.Tunakwama wapi? Kwa option ya over 1.5 goals zilikuwa odds 12. Nikazembea!View attachment 2920686
Kwako tuDah hv ni Mimi tu napata changamoto kdeposit SPORTYBET kwa tgopesa au Kuna tatizo gan
YupoIvi Mr cocktail JITU BANDIA amepotelea wapi jamaa yetu tumemiss coktail ya na
Balaa zito,anachezewa mpira mwingii mnoooAtletico madrid anabatizwa kwa moto 😬
Dah hv ni Mimi tu napata changamoto kdeposit SPORTYBET kwa tgopesa au Kuna tatizo gan
Pole sana mkuuNaamka macho yamelenga kwenye balance nakuta kama nilivyoacha jana. Hapa hakuna haja ya kukagua mikeka maana sina cha kujifunza.
Timu sijui zinaongwaa?Leo nmeliwa mikeka mingi balaa
Dah ahsantePole sana mkuu