wakuu nimetengeneza trein la odd laki mbili nimeweka stake ya 50000 wamegoma nimeweka buku wamekubali ni meweka team 30 zime tik 10 bado 20 hawa walio baki sina presha nao mana ni wababe wa mech ajabu cash out inasoma buku 2 wakati odd elfu hamsin tayal zime win hivi hiz kampun zinatuonaje sisi hiyi sio dhuluma kwel odd elfu 50 cash out buku nawasiwas sana kama ka m68 watatoa kama ita win hiv ni wap nikawafungulie kesi
Pipa kama pipa
1707411937988.jpg
 
Astropay kwenye ku withdrawal ni tatizo. Labda kwa wenye ujuzi watupe madini.
Natumiaga Skrill kwenye kutoa pesa.
naomba nielekeze skrill ikoje kwamaan hapa kmmk 888 starz naona wanataka kunipiga cha kichwa wasenge hawa wababaishaj sana nmedeposit pesa kupitia perfect money ili nikomboe pesa yangu nikaamua kuchezea pesa yote ikashinda sas kutoa hawa maku wananiambia niitishe document yan nataman niwatukane huko ila mpk nitoe pesa yang kwanz wananizungusha san mpk nachoka sas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom