Mliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!

IMG_1946.jpg
 
Kama nihivyo kwanini wanakaa wanaweka na kutoa
Hii hata mimi huwa inanishangaza. Mbona makampuni ya hapa Tanganyika huwa yanakomaa na payment method moja muda wote!
Si mobile payment tu, wale jamaa hata VISA huwaga muda mwingine haipo upande mmoja hasa kutoa.
 
Juventus Jana Nilitegemea atapoteza kwasababu ya Majeruhi aliyo nayo.

Ila Bilbao Sikutegemea kama atashindwa hata kupata Goal moja.

Crystal Palace niliona hawezi kufunga goal kwasababu ya Majeruhi ila alifunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom