Mnaweza mkaweka hiyo moja imebaki
20231114_190408.jpg
 
Mi
Mie mpaka leo pesa haijafika.
Utashangaa ukiweka nyingine inaingia ile ya mwanzo wanazunguushia.

Mie wakichelewa huwa nahama kabisaaa naenda BETPAWA au PARIMATCH,wakirejesha pesa Yangu ndio narudi.
PARIMATCH wapo bora zaidi shida ni webpage yao tu ipo hivyoo,Mechi za kufuata unachukia mudaaa kusuka mkeka.
Sportbety kinachoniweka ni page yao inaruhusu na simple mnoo kuweka mkeka hata wa mwezi mzima.Only that.
PARIMATCH is the best,yaani Mechi Moja unaweza kuweka options mpaka 3,aisee RAHA mnoo.So,ubora wao ni match za leo leo tu but matrain sio wazuri
Minimum stake ya parimatch ni sh ngapi? Maana naona sportybet mpaka sh 10
 
Vijana mnapenda sana pesa za mteremko
k.umalamamaako.

pesa za kubet hatupati bure, tunaweka mtaji halafu ndiyo tunabahatisha. uhakika wa kula hakuna.

unaongea kirahisi tu kwasababu hubet, waulize wanaobet wakwambie hela ya betting ilivyo ngumu. pesa ya betting ni ngumu. ukituona tunaobet unaweza fikiri tunacheza. tunasota mkuu, tena tunasota kwelikweli. ni heri ya biashara ya maandazi utapata faida kuliko betting. betting matokeo yanakuja ndivyo sivyo.

ingia kwenye betting uone shughuli yake, siyo unaropoka kiboyaboya,

.
 
mimi nakazia hapa
 
Hao wengine ni kuwaklia kimya tu waache waseme Kisha waonee huluma maana wanayo yafikilia si yaliko katika uhalisia tunaopitia.
 
k.umalamamaako.

pesa za kubet hatupati bure, tunaweka mtaji halafu ndiyo tunabahatisha. uhakika wa kula hakuna.

unaongea kirahisi tu kwasababu hubet, waulize wanaobet wakwambie hela ya betting ilivyo ngumu. pesa ya betting ni ngumu. ukituona tunaobet unaweza fikiri tunacheza. tunasota mkuu, tena tunasota kwelikweli. ni heri ya biashara ya maandazi utapata faida kuliko betting. betting matokeo yanakuja ndivyo sivyo.

ingia kwenye betting uone shughuli yake, siyo unaropoka kiboyaboya,

.
Umemkosea. Usingemtukana. Maelezo yako mbona yangemtosha na angeelewa!!!!
 
k.umalamamaako.

pesa za kubet hatupati bure, tunaweka mtaji halafu ndiyo tunabahatisha. uhakika wa kula hakuna.

unaongea kirahisi tu kwasababu hubet, waulize wanaobet wakwambie hela ya betting ilivyo ngumu. pesa ya betting ni ngumu. ukituona tunaobet unaweza fikiri tunacheza. tunasota mkuu, tena tunasota kwelikweli. ni heri ya biashara ya maandazi utapata faida kuliko betting. betting matokeo yanakuja ndivyo sivyo.

ingia kwenye betting uone shughuli yake, siyo unaropoka kiboyaboya,

.
Jitubandia nalo linakazia hapa!! 🔨🔨 Hiyo kenge imetumwa!!? ...

Imezamia meli ya wagiriki!

Isubiri kupakuliwa bila hiyari.. ama izame yenyewe baharini kimya kimya!
 
k.umalamamaako.

pesa za kubet hatupati bure, tunaweka mtaji halafu ndiyo tunabahatisha. uhakika wa kula hakuna.

unaongea kirahisi tu kwasababu hubet, waulize wanaobet wakwambie hela ya betting ilivyo ngumu. pesa ya betting ni ngumu. ukituona tunaobet unaweza fikiri tunacheza. tunasota mkuu, tena tunasota kwelikweli. ni heri ya biashara ya maandazi utapata faida kuliko betting. betting matokeo yanakuja ndivyo sivyo.

ingia kwenye betting uone shughuli yake, siyo unaropoka kiboyaboya,

.
Umejibu kwa sauti balaa,,,,, naamini hata yeye hajategemea hili😂😂😂
 
Kuna mkeka wa ligi kuu nausuka hapa, mechi za Novemba 25 na 26. Huu mkeka nimeucodename "Get Rich or Die Trying". Stake iwe laki mbili, winning iwe angalau bilioni 5 (USD 2 million). Ugomvi wangu na kanjibai haujaisha, bado tunajambo letu. Suala la kumrusisha Asia akalime pilipili lipo palepale.

#GeyRichorDieTrying#
Huyu kachanganyikiwa msimsikilize humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom