Option ya over 1.5 ni nzuri ila iogope kama ukoma
Ila Mie ndio inanitoa mnoo
Uchambuzi wangu Mechi za kimataifa hasa za Ulaya ambazo zimeanza kitaaambo,nyingi zitato over 1.5 kwakuwa itakuwa Mechi kama mbili tu mtu ajue yumu au ayumo.

Cha kuogopa ni mchezo wa Kindege🤣🤣🤣🤣
We Kindege kinaruka gizani,We Mfalme vipi
 
Ila Mie ndio inanitoa mnoo
Uchambuzi wangu Mechi za kimataifa hasa za Ulaya ambazo zimeanza kitaaambo,nyingi zitato over 1.5 kwakuwa itakuwa Mechi kama mbili tu mtu ajue yumu au ayumo.

Cha kuogopa ni mchezo wa Kindege🤣🤣🤣🤣
We Kindege kinaruka gizani,We Mfalme vipi
Iko kindege sitaki ata kukisikia
 
Wajameniiiii,narudi Saa Sita na Nusu na kama nilivyoahidi

Maana hizi International Matches hizo Odds na options naona kula siku zikienda mbele zinapanguliwa,najua one Day before zitashushwa.

Moja ya kesho tu wameishaipurua odds ahhh
 
Shika adabu zako tena zikushikee haswaaa dem Gani wewe makalio utafikiria umeanguka bafuni.

Acha kabisa kufuatilia Maisha yetu humu JF.Kama Umetumwa na sie ujue tunawatu vilevile Utaliwa Tu mwaka Huu

Mpumbavu, wewe ni wa kunishawishi na kunilazinisha leo niBET kwani lazima?

Jamani Samahanini,muda huu Saa Saba inaenda Nane usiku,humu sikufichi chumba hiki na Jukwaa hili usiku kuna Majini,yanaandika Meseji na yanatuma Codes kibao,ikifika Alafajiri yanafuta.Sasa mpumbavu mmoja anajiita Queen Mapunye katumwa eti analazimisha Codes za leo na kesho.
Usintishe,namie nakutisha hivyo hivyo 👹👹👹
 
Odds 23
20231114_085914.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom