Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 10,119
- 21,751
Half time 0-0 mbupu zita liwaGame ya copenhagen ina odds 2.3 sportybet za over 2.5 ....weka mbupu
Half time 0-0 mbupu zita liwaGame ya copenhagen ina odds 2.3 sportybet za over 2.5 ....weka mbupu
*150 *##Inatumikaje hii?
nenda kwenye paybill kalipie hukoInatumikaje hii?
Hizi ndizo zile aina ya mechi kiswanglish tunaita UNBETTINGABLE! (HAIBETIKI!)...Nimeogopa hadi nimetetemeka. View attachment 2811524
kuhusu rollover, mkuu...hufahamu nini kutoka kwenye hayo maelezo yangu?, hufahamu kupiga hela kupitia mwanya wa network ya bookie kuzingua?, au hufahamu jinsi ya kucheza rollover?.
Usitumie ile njia ya deposit online wamesema kuna tatizo la kiufundi tumia menu ya kawaida kama unatumia tigo (namba ya kampuni 190190, kumbuร2 namba SPORTYBET)Leo nataka kubet lakini sportybet hawanitaki
Kuna mtu nae anasumbuliwa kudeposit sportybet?
Okay Sawamkuu, unajitekenya af unacheka mwenyewe
na ile mbinu yako ya kucashout ni sawa na kumtikisia kanji tako moja, if not njoo utestify apa kupitia ule mkeka wako wa jana maana najua uliambulia za uso kutoka kwa genius mwenyewe kanji
Namba ya kampuni 190190Usitumie ile njia ya deposit online wamesema kuna tatizo la kiufundi tumia menu ya kawaida kama unatumia tigo (namba ya kampuni 190190, kumbuร2 namba SPORTYBET)
Mimi siku zote natumia sportybetNamba ya kampuni 190190
Kumb. Namba SPORTY
Unaposema makosa Yale yale unamaanisha Nini?
Matokeo ya timu Ni dynamic hujampa direct win umempa
Over 1.5 . Anatoa 0:0
Umempa under anatoa 6:4
Double Chance inafeli
Unaweza bet hata wachezaji wote waingie na viatu unashangaa kuna mmoja anaingia bila viatu kitu lost