Unaweza jiuliza inakuwaje mikeka ya hela kubwa humu ndani daily inachanika na ikitokea imepatikana mkeka wa odds 100 kwenda juu umewin Basi Ni nadra Sana. Cha kushangaza makosa yanaonekana kujirudia yaleyale, mf usiiamini timu yoyote kwa kuipa direct win, ikitokea hivyo uwe umejiiridhisha kwa % zote. Yes kwa mtazamo wangu nikuwa bado utaalam wa kusuka mikeka ya "must win ''kwa wengi bado Ni changamoto.

Wataalam bado wanahitajika.
betting haina formula mkuu,..hii n michezo ya kubahatisha tu siku bahati ikiwa kwetu haya maneno hutasema,
yule mchzi alowapga bp hadi wakataka kukimbia asilimia kubw gem nying aliwapa wat direct na treni lefu sana yan
 
Hiyo kitu siifahamu, unaweza kunipa maarifa kidogo mkuu?
hufahamu nini kutoka kwenye hayo maelezo yangu?, hufahamu kupiga hela kupitia mwanya wa network ya bookie kuzingua?, au hufahamu jinsi ya kucheza rollover?.
 
Wale wapenda matreni ya muda mrefu kwa ajili ya kucash out, mfollow X anaitwa Jaredadcrypto ana mikeka ya hela sana. Nashindwa kutupia codes humu acc naibia sio yangu. Nikipata wasaa nawajulisha kama hivi.
Screenshot_20231112_134656_Gallery.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom