Istone
Senior Member
- May 20, 2022
- 171
- 263
Fiorentina aisee ndio pekee kanichania mkeka dadeq. Ndio maan Kuna jamaa mmoj humu alisema kuwek direct win kwa series A n kamzozo. Inabid uwe na moyoDaaaah Fiorentina ni wa kunifanyia hivi kweli
Fiorentina aisee ndio pekee kanichania mkeka dadeq. Ndio maan Kuna jamaa mmoj humu alisema kuwek direct win kwa series A n kamzozo. Inabid uwe na moyoDaaaah Fiorentina ni wa kunifanyia hivi kweli
Shukrani sana, Mungu anisaidie niamke asubuhi mapemaaaa nibebe mchanga mtoni nipate 20K nibetie 5k chapkesho saa kumi mkuu
Florentina kaua kikatili sana.... Pole kwa waliompatia.Fiorentina anatulaza njaa leo
Daaah!Dah fiorentina kaniua na wameninyima cashout Duh
huyo napoli lolote kumkuta ni rahisi nimtoaukiedit naomba tusaidiane 862948E betpawa
Wakuu tusikate tamaa tu rebet tafadhali.9237C29 - BETPAWA
TODAY - SUNDAY .
IWE HERI KWETU SOTE!
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mkuu re bet tafadhali, kuna muhuni kaharibu kikaoHii ni pesa, ukitiki jiandae kupokea soda.
ikawe heri kwako pia!
Sio wewe TU mkuu, Hali Tete kotekoteLeo ndo nimeamini sijajua kubet mamaee.. miaka yote hii kwenye betting nachaniwa mikeka 6+ na timù ya kifalaa tu daahView attachment 2790595
Waturuki nao watakua wameshaanza michezo michafu, Demispor alipewa odds kubwa mno kuliko UHALISIA.Adana Demispor unakatwa na wachawiiii.mamaeee
Pamoja kiongozi, tuombe MunguMkuu re bet tafadhali, kuna muhuni kaharibu kikao
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Bro! Hii si namba ya kufanya deposit BetPawa, shida nini asee?445445 betpawa
Ni mikeka 19 au timu 19maana km 19imetik huna haja kulalama,muonee huruma kanjiFiorentina natafuta tusi la kutukana sijalipata....mikeka 19 imekubali kasoro Falantina....Falantina Falantina kanitia umaskini
Pole xna kiongoz matimu mengine ni mamaku kbsaWakuu tusikate tamaa tu rebet tafadhali.
Fiorentina sitakuja kucheza nae abadan. View attachment 2790757
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app