Cashout nilikwambia mapema naona wanaruka ruka tu
cashout nayo kuna muda miyeyusho sana,
Jana roma nilicashout dakika kama ya 80 stake 5k ikatoka 3k, nikarebet na kuongeza mechi moja kumaintain odds tumeenda fresh barca nimecashout dakika 3 kabla hajapata goli muda huu stake 3k itatoa 6k , barca akashinda ikawa imebaki mechi ya tottenham win or draw 🤣🤣

Kitaalamu nimeacha kama 25k kizembe nimeambualia buku na mia tatu
 
Wadau hebu zidisheni maombi watu wakanywe bia hapa
Screenshot_20231023-232214_1.jpg
Screenshot_20231023-232218_1.jpg
Screenshot_20231023-232223_1.jpg
 
Back
Top Bottom