Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,594
- 17,599
Fuata nyuki ule asali lakini kuwa makini Kuna kung'atwa pia ukaota manundu.....
Fuata nyuki ule asali lakini kuwa makini Kuna kung'atwa pia ukaota manundu.....
Haikua lawama hata kidogo, ila nilijaribu kuonesha kwamba watu wanapenda kuchukua codes ambazo zina odds kubwa au zina bonus kubwa (treni) ili hata akiweka 100 tu apate laki.Kuna mdau nimeona katoa lawam kwamb alishare code ikatoa na hajaletew mrejesho wowote
#iko IV mim kama mim kweny huu uzi sijamaliza hata wiki......ile siku ya Kwanz tu nilideposit kama 40000 IV then nikawa nacopy code naend kupaste then nikiona odds nying nastake low and vice versa aseeeeee mikeka kama kumi IV sijui upi ni upi ila nashukur nimepiga laki tatu na nina matren mawil yanaishia tar 30.....
Fiorentina anatusalimia jamaan
Dah..timu za Romania ni presha tupuBora huyo kuna mjinga anaitwa Cfr cluj
Dah..timu za Romania ni presha tupu
Fuata nyuki ule asali lakini kuwa makini Kuna kung'atwa pia ukaota manundu.....
Halafu ndio wanafunganaga kama hawana akili nzuri....Hii ligi vipi😃😃😃
View attachment 2790574
Saaafy.....Kuna mdau nimeona katoa lawam kwamb alishare code ikatoa na hajaletew mrejesho wowote
#iko IV mim kama mim kweny huu uzi sijamaliza hata wiki......ile siku ya Kwanz tu nilideposit kama 40000 IV then nikawa nacopy code naend kupaste then nikiona odds nying nastake low and vice versa aseeeeee mikeka kama kumi IV sijui upi ni upi ila nashukur nimepiga laki tatu na nina matren mawil yanaishia tar 30.....
Kila mtu Kwa imani yake . ..tufunge na kusali .... Atapita na kijiji huyu matokeo yakibaki hivyo ...Fiorentina anatusalimia jamaan
cashout nayo kuna muda miyeyusho sana,Cashout nilikwambia mapema naona wanaruka ruka tu
kapita 50k yangu shwaaaaBora huyo kuna mjinga anaitwa Cfr cluj
hapa Fiorentina vs. Empoli, kule Palermo vs. SpeziaTimu za Italy walio wengi ni wacheza kamari..Ni hatari sana..Ngoja leo tuone inaishaje hii mechi maana ni hatari sana kwa afya za wakamaria leo hii